Korogwe: Mkurugenzi afunga ofisi na kuja jina la mgombea wa CCM. Mgombea wa CHADEMA nusura aporwe fomu

Ila mimi naomba kujua na toka jana najaribu kujua sipati majibu! Kwani fomu hazikurudishwa mapema zaidi ya Jana, au Jana ndo ilikuwa imetengwa pekee kwa urejeshaji wa fomu? Yaani kwanini msingewahi kwa Sikh moja au mbili hivi za kazi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kwa kurudisha form siku ya mwisho ni kipi kilikiukwa? Wangeweza hata kurudisha form siku ya kwanza lakini bado wangeweza kuambiwa kuwa anayepaswa kuzihakiki hayupo na wakaambiwa kurudi siku ya mwisho.
Kikubwa ni kwamba utaratibu haukukiukwa. Kwani wale wagombea udiwani wote 41 walioenguliwa walirudisha form siku ya mwisho?
 
Kila mtu anajua kwamba siasa za upinzani zimepoteza mwelekeo na hakuna namna upinzani unaweza kushinda iwe udiwani wala ubunge. Sasa ya nini kupoteza fedha za walipakodi kwa jambo lililo wazi kabisa mbele za Mungu na wanadamu pia. Upinzani unspaswa kujipanga upya kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka 2025 na si vinginevyo. Nashauri hata wale wagombea ubunge wa Ukonga na Monduli kupitia upinzani wajitoe tu ili kunusuru pia muda wao na ruzuku za vyama vyao zitakazotafunwa bure na viongozi wao kwa kisingizio cha gharama za uchaguzi. Niishie hapo.....!
 
Tatizo letu Watanzania tunaongea Na kulaumu vyama vya upinzani kama hayatuhusu vilee..

Hayo mashinikizo hayawezi kuleta matunda kama Sisi Wananchi hatutaamua kushiriki moja kwa moja kwenye kudai haki.

Tukumbuke vyama vya upinzani sio viongozi wake, vinajengwa Na Sisi Wananchi tunaochukizwa Na hali hii ya uminywaji wa haki na demokrasia...Ambao wengi wetu ni waoga wakujitokeza waziwazi Na kuunganisha nguvu zetu kupambana Na utawala huu. Badala yake tunataka jukumu hilo lifanywe Na watu wengine huku Sisi tukinyoosha miguu majumbani mwetu tukisubiri matunda. Ni uzwazwa.

Ni ama tukae kimya tusulubiwe ama tutoke majumbani mwetu tukapambane....tuache unafiki.

Hata kwenda mahakamani kunahitaji wananchi wawepo au waunge mkono?
Hao wananchi wataungaje mkono kama hawaoni juhudi na ushahidi unaoonyeshwa na viongozi wa siasa.
Ni lazima uelewe maana ya kuwa kiongozi katika siasa. Kazi sio lelemama hiyo.
 
Hizi mbinu za CCM kusimika wana CCM kuwa wabunge kibabe kwa kuwatumia Polisi na wakurugenzi ni mbinu za kishamba na kijinga pia ni dharau kubwa kwa wananchi na wapiga kura kwa ujumla.
Mkuu naongeza kuwa ni za KISHENZI pia.
 
Kila mtu anajua kwamba siasa za upinzani zimepoteza mwelekeo na hakuna namna upinzani unaweza kushinda iwe udiwani wala ubunge. Sasa ya nini kupoteza fedha za walipakodi kwa jambo lililo wazi kabisa mbele za Mungu na wanadamu pia. Upinzani unspaswa kujipanga upya kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka 2025 na si vinginevyo. Nashauri hata wale wagombea ubunge wa Ukonga na Monduli kupitia upinzani wajitoe tu ili kunusuru pia muda wao na ruzuku za vyama vyao zitakazotafunwa bure na viongozi wao kwa kisingizio cha gharama za uchaguzi. Niishie hapo.....!
Unajifurahisha tu. CCM ina siasa za kishenzi kwenye chaguzi. Washinde kwa haki sio kwa mizengwe.
 
Back
Top Bottom