Korea yanunua ardhi "kwa mkopo" Tanzania, Serikali yasita kuthibitisha

South Korea says it has agreed to develop farmland in Tanzania - the latest in a series of such deals between rich and poor nations.

Korean officials say 1,000sq km will be developed - half for local farmers, half to produce processed goods for South Korea.

Seoul also signed a deal last year to lease a vast area of Madagascar.

Rich countries have increasingly sought farmland in poorer nations to help shore up food supplies.

Countries such as China, Saudi Arabia, South Korea and Kuwait are short of arable land and have been seeking agricultural investments in Africa.

But South Korea’s deal in Madagascar - which would have seen it lease an area the size of Belgium from the island nation - has been thrown into uncertainty.

Madagascar’s Government was overthrown in a coup earlier this year and the new leaders said they would scrap the deal, which was cited as one reason for the unrest.

The state-run Korea Rural Community Corporation says a memorandum of understanding will be signed with Tanzania next month.

The corporation says it will produce processed foods like cooking oil, wine and starch on the land.

Mr Lee Ki-Churl, a corporation official, said he expected Tanzanians to benefit from the deal.

“Some African countries export fruit and import fruit juice, or export olives and import olive oil, simply because their past colonialists did not teach them how to process food,” he told the AFP news agency.
“We plan to set up an education centre for Tanzanian farmers in the food-processing zone in order to transfer agricultural know-how and irrigation expertise to them.”

He said about 100bn won ($83m) would be spent to develop an initial 100 sq km of land over the next few years.

South Korea’s Yonhap news agency reported that the corporation hoped to exploit deposits of iron ore, gold and copper in other parts of the Tanzania to help fund its project.

The deal comes weeks after Tanzanian Prime Minister Mizengo Pinda visited Seoul, when the two nations promised closer ties.

Elsewhere, the Republic of Congo expects to finalise a multimillion hectare land deal with South African farmers by the end of this year, Congo President Denis Sassou-Nguesso said on Tuesday.

The deal, initially meant to give South African farmers 10 million hectares (24.7 million acres) of land to grow maize and soya beans, raise poultry and run dairy farms, was delayed by Congo’s elections in July, won by Sassou-Nguesso.

First drafted as a 99-year lease, the deal could be one of the largest of its kind in Africa, where countries with more developed agricultural systems are seeking to expand in a trend advocates say will help modernize farming in poorer countries.

President Sassou-Nguesso said in an interview he had spoken to South African President Jacob Zuma in New York, where both were attending the United Nations General Assembly.

President Sassou-Nguesso said they discussed him making a state visit to South Africa before the end of the year, and he hoped to finalize the land deal on that occasion.

“We think this might happen before the end of this year,” he said, adding that nothing had been finalised.

In August, the oil-producing central African nation said the deal needed to be changed as there were misunderstandings and the project risked depriving local farmers of land.

Asked whether the deal would still involve between 8 million and 10 million hectares of land, Sassou-Nguesso said: “We will only know exactly the numbers once our contracts are completed. It’s not a closed number, this can change.”
South Africa has one of the most developed agriculture sectors on the continent and its farmers are looking to expand into other countries. They are joined in the scramble for land by rivals from Italy, France, Turkey, China and Israel.

Analysts point to potentially huge rewards in investing in farmland as the world population grows, while many see climate change and biofuels choking off the supply of arable land.

Advocates of such land deals say they can act as a motor for development of the farm sectors of poor countries, while critics warn of a land grab to the detriment of local farmers.

President Sassou-Nguesso, who has been in and out of power in Africa’s No. 5 oil producer since a 1979 coup, won the July 12 election with 78 percent of the vote. The result was dismissed by the opposition, after rivals were banned or withdrew.

President Sassou-Nguesso said Congo also expected to reach completion point of the joint World Bank and International Monetary Fund’s Highly Indebted Poor Countries debt relief scheme by the end of this year.

Congo’s economy is heavily dependent on its 220,000 barrels per day oil output, but President Sassou-Nguesso said plans to diversify the economy were under way. He said Congo offered good potential for investors in electricity, through building dams.

“South Africa for example can eventually import electricity from the Congo Basin,” he said.

Asked what he was doing to reassure investors that corruption would not be a problem, Sassou-Nguesso said: “Where is the corruption? It’s about production of electricity, there’s no possible corruption.

“All of Africa needs electricity and whoever invests in this sector will reap benefits because they will be able to produce electricity and sell it ... and there’s no corruption in this business.” (Agencies)

http://www.nation.co.ke/News/africa/-/1066/663184/-/item/0/-/9605fw/-/index.html
 
Kukana ni ugonjwa wa Tanzania. Uzuri sasa hivi Watanzania wanajua tiba yaani dola ikikana jua kuna jambo linalofanana na walilokana linakuja tena laweza kuwa baya zaidi
 
Korea Kusini yaomba kulima Tanzania

t.gif
_46432648_89874573%282%29.jpg

Korea Kusini kuendeleza kilimo Tanzania Korea Kusini imesema imekubaliana na serikali ya Tanzania kutumia eneo kubwa la nchi hiyo kwa ajili ya kuendesha shughuli za kilimo, ikiwa ni hatua ya mpya katika mfululizo wa mikataba baina ya mataifa tajiri na masikini.
Maafisa wa serikali ya Korea Kusini wanasema kilomita za mraba 1,000 zitaendelezwa, ambapo nusu ya mazao yatakayopatikana yatakuwa kwa ajili ya matumizi ya wananchi wa Korea na nusu kwa ajili ya wakulima wa eneo hilo.
Hata hivyo serikali ya Tanzania imesema bado swala hilo lipo katika hatua ya majadiliano.
Akizungumza na Idhaa ya Kiswahili ya BBC, Waziri wa kilimo, chakula na ushirika, Stephen Wasira, alisema ni kweli serikali imepokea maombi kutoka Korea Kusini lakini bado hakuna mkataba uliosainiwa.
"Walituarifu, walituambia wakati tukiwa pale. Siwezi kusema kwa sasa hivi, kama ni jema au si jema. Kwasababu kitu hii bado hata details zake hazijawa worked out", alisema Bw Wasira.
Bw Wasira aliongeza kuwa: "Lakini kwamba tunakaribisha investors kwenye agriculture, ni policy iko very clear, sasa unawakaribisha kwa conditions gani? Hizo ndiyo zinatakiwa ziwe worked out na mwekezaji pamoja na serikali ya Tanzania", alibainisha Bw Wasira.
Nchi kama China, Saudi Arabia, Korea Kusini na Kuwait zina upungufu wa ardhi yenye rutba na zimekuwa zikitafuta kuwekeza katika sekta ya kilimo Afrika.
Kampuni inayomilikiwa na serikali ijulikanayo kama Korea Rural Community Corporation imesema mkataba wa ushirikiano utasainiwa nchini Tanzania mwezi ujao.
Mkataba huo wa Tanzania na Korea Kusini umeafikiwa wiki mbili baada ya Waziri mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda, kuzuru Seoul ambako nchi zote mbili zimeahidi kuimarisha ushirikiano.
Korea Kusini pia ilisaini mkataba mwaka jana kuweza kukodisha eneo kubwa la Madagascar
Lakini hatma ya makubaliano ya Madagascar - ambayo yangetoa fursa kwa eneo kubwa kwenye kisiwa hicho kutumika kulima mazao kwa manufaa ya Korea Kusini, haijulikani.
Serikali ya Madagascar iling'olewa katika mapinduzi mapema mwaka huu na viongozi wapya wamesema watasitisha mpango huo, ambao ulielezwa kuwa sehemu ya machafuko ya kisiasa nchini humo.

HABARI MPYA
Chanjo ya HIV yapunguza maambukizi
Korea Kusini yaomba kulima Tanzania
Bilioni tano kusaidia afya ya bure Afrika

t.gif
t.gif
t.gif
Mtumie rafiki barua pepe C
 
Ndugu yangu, kama wewe huamini kuna walakini basi unaishi sayari nyingine. Tutajie mradi mmoja mkubwa ulioendelezwa Tanzania pasipo kashfa ya corruption.

It's like stating the obvious. Kama wewe au jamaa zako watanufaika, basi una kila sababu ya kuunga mkono vitu hivyo bila kuwa details

Lakini tofauti ni moja, kama hakuna manufaa na unaunga mkono, basi sina cha kusema.

Nitajie ni shamba gani kubwa lilitoifishwa na Nyerere na likaendeshwa na waTanzania ambalo liko hai na linaendesha na wa Tanzania kwa faida ya waTanzania!
 
Ngugu JF tunaheshimu mawazo ya kila mtu hata ikiwa ni utoko. Asante

Utoko ni ule uliowaacha watu wachimbe chini ya Ardhi ya kilimo, kusilimike tena, kutolewe rasilimali zote na waTanzania kuambulia asilimia tatu tu, tena ya vipimo vya hao wachimbaji!

Leo, linganisha la kulimwa Ardhi na mazao hamsini kwa mia kubakishwa hapa hapa Tanzania, na zinazokwenda nje zikalipiwa kodi ya kisheria ya kusafirisha mazao nje, halafu unambie utoko mwembamba ni upi?
 
Nitajie ni shamba gani kubwa lilitoifishwa na Nyerere na likaendeshwa na waTanzania ambalo liko hai na linaendesha na wa Tanzania kwa faida ya waTanzania!

Nitajie ni kiongozi gani aliwajibika au kuwajibishwa kutokana na uzembe wa kuendesha shamba mojawapo kubwa au kiwanda kilichotaifishwa na Nyerere na kuendeshwa na Watanzania kwa faida ya Watanzani, katika uhai wake au baada?!

Priority kwetu ni ipi: Kinga au tiba?!
 
Hakuna, sijaona wakati wa Nyerere wala wa Nkapa!

Lakini nimeona wakati wa JMK wakiwajibishwa mawaziri mpaka waziri mkuu kwa kinachojulikana. Na wengine, waziri, katibu mkuu, na wapambe wao wako mahakamani!

Jee, uliyaona hayo kabla ya JMK?
 
Ha ha ha ha! Kigumu Chama Cha Mafisadi! Kigumu! Kwa hiyo wewe unaona mikataba ya kuvuna rasilimali zetu kwa bei karibu na bure kabisa na kuingia mikataba ambayo haina maslahi na nchi yetu kama ya wale wa makabuto toka South Africa Net Group Solutions waliongizwa na Mkapa kwa mtutu wa Bunduki pale TANESCO na mikatana ta akina BARRICK, RITES, TICTS, SASKATEL yote ni uzushi mtupu! Duh! Kweli Mifisadi ndivyo ilivyo! Mifisadi itauza hata nchi yao ili kuendeleza ufisadi wao na kuwaacha mamilioni ya raia wao wakiishi katika maisha ya ufukara wa kutisha.

Bei karibu na bure ni ipi? 3% au 50%
 
Hakuna, sijaona wakati wa Nyerere wala wa Nkapa!

Lakini nimeona wakati wa JMK wakiwajibishwa mawaziri mpaka waziri mkuu kwa kinachojulikana. Na wengine, waziri, katibu mkuu, na wapambe wao wako mahakamani!

Jee, uliyaona hayo kabla ya JMK?

...tukumbuke bado wana-attend vikao vya Bunge na kupokea posho. Na bado wanapokea mafao yao.
...na kwa vile unakubali kuwa kuna baadhi ya viongozi wa ngazi za juu "wamewajibishwa" - Je ni makosa yepi hayo waliyofanya? Je, adhabu za makosa hayo ni kuacha au kuachishwa kazi pekee?!

...wakati wa Nyerere sidhani kama tungelishuhudia pesa zinaibiwa benki kuu, inathibitishwa kuwa zimeibiwa, kisha zinarudishwa na watu bila ya kumtambua aliyerudisha!!

...wakati wa Nyerere jiji la Dar-es-salaam lilikuwa halinuki kama linavyonuka hivi sasa. Mitaro ya maji yote ilikuwa inapitisha. Leo hii makao makuu ya kibiashara ya taifa ni shaghalabagala usiombe. Kazi ya viongozi ni nini na ni lini wanawajibika?!
 
Hii si nchi ya kuagiza chakula na kuomba msaada wa unga toka nje, na wala si nchi ya kuingiza juisi ya matunda toka uarabuni. Lakini inafanya hivyo, kwa nini?

Kwa nini tuagize hata toothpick toka China?

wameeleza hapo juu kwamba ni kwa sababu wakoloni hawakutufundisha jinsi ya kugeuza matunda kuwa juice...
 
Korea yatangaza kununua ardhi kubwa Tanzania, serikali yakana
broken-heart.jpg
Na Mwandishi Wetu
SERIKALI imesema kuwa taarifa zilizotolewa na vyombo vya habari vya Ulaya kuwa imeuza ardhi ya ukubwa wa kilomita za mraba 1000 za kilimo kwa Korea ya Kusini kwa ajili ya matumizi ya kilimo si za kweli.

Taarifa zilizotolewa jana na vyombo hivyo zilieza kuwa Korea Kusini imekubaliana na serikali ya Tanzania kufikia hatua hiyo ikiwa ni sehemu ya makubaliano kati ya mataifa masikini na tajiri duniani.

Afisa wa Shirika linaloendeshwa na Serikali ya Korea linaloshughulikia maendeleo ya kilimo vijijini, Lee Ki-Churl, alinukuliwa na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), akisema kwamba mkataba huo utasainiwa mwezi ujao.

Kwa mujibu wa taarifa hizo, mkataba wa makubaliano kati ya mataifa hayo mawili ni matokeo ya ziara ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda aliyoifanya katika mataifa ya mashariki ya mbali.

Akizungumza jana, Waziri wa Kilimo na Chakula na Ushirika, Steven Wasira, aliliambia gazeti dada la hili la The Citizen kuwa hakuwa na taarifa na mkataba huo.

"Nilikuwa sehemu ya ujumbe wa Waziri Mkuu Korea Kusini na kilichotokea kule hakikuwa zaidi ya kuwakaribisha wawekezaji wa kigeni katika sekta zote ikiwamo ya kilimo."

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Emmanuel ole Naiko alikanusha na akasema hakuna makubaliano yoyote yaliyofikiwa na serikali katika kilimo na Korea Kusini.
From Mwananchi.
 
Wanaanzaga kwa kukataa hivihivi..ila yetu macho tu and time will tell.
 
Dont worry Jasusi;hawa watu hawajawahi kukubali kashfa directly hadi wabanwe na akina Seleli Bungeni!

Iweje serikali ya Pyongyang ikurupuke kwenye media za kimataifa zitangaze hili deal ambalo Waziri Wassira analikanusha?

Time will tell na hapo kama kawaida yao watakuja na blahblah zao kutuweka sawa sisi wadanganyika!
 
Son:

Hawa jamaa wanakuja kwenye kilimo. Kilimo hakina skills za nguvu, tunachoshindwa ni nini?

Acheni longolongo.

Grandson, kwa taarifa yako wewe ndiye mwenye longolongo. Unapewa mifano hai ya matapeli waliokaribishwa nchini mwetu eti kama Wawekezaji lakini hutaki kuikubali.

Wanakuja kwenye kilimo lakini mtaji wao waupate toka kwenye rasilimali zetu! Ha ha ha ha kama huu si usanii sijui ni kitu gani halafu eti kwa ujinga wetu Watanzania tunawaita ‘Wawekezaji' na si ajabu wakishanogewa na rasilimali zetu wanaweza kabisa kutamka kilimo sisi basi tutaendelea kuvuna tu rasilimali zenu. Hivi kwanini hutaki kuelewa!? Net Group, Dar City Water, RITES, TICTS, SASKATEL, BARRICK etc hakuna manufaa yoyote tuliyoyaona kutoka kwa ‘wawekezaji' hawa bali walikuwa ni matapeli tu na wengine mpaka leo bado wanatutapeli. Lakini mifano yote hii ya matapeli hamtaki kuitilia maanani! Sasa mnawaamini ‘wawekezaji' toka SK! Duh! Kazi kweli kweli!
 
Last edited:
Hakuna, sijaona wakati wa Nyerere wala wa Nkapa!

Lakini nimeona wakati wa JMK wakiwajibishwa mawaziri mpaka waziri mkuu kwa kinachojulikana. Na wengine, waziri, katibu mkuu, na wapambe wao wako mahakamani!

Jee, uliyaona hayo kabla ya JMK?

Ha ha ha ha Nani aliyewajibishwa na Kikwete? Mbona akina Lowassa, Msabaha, Karamagi, Mkapa, Rostam, Chenge, Idissa Rashid, Edward Hosea na wengine bado wanapeta Bungeni, CC au kwenye nyadhifa zao? Kawawajibisha kwa kufanya lipi? Kama Mwenyekiti wa CCM kwanini kashindwa kuwafukuza chamani kwa kukiuka maadili ya chama kwa kuwaibia Watanzania au kujihusisha na rushwa!? Rushwa ni adui wa haki sitapokea wala kutoa rushwa. Je, wengine ni RUKHSA kupokea rushwa na kuendelea na uanachama wao CCM na nyadhifa zao bila kuguswa? Acha hizo!
 
Last edited:
Korea yatangaza kununua ardhi kubwa Tanzania, serikali yakana
broken-heart.jpg
Na Mwandishi Wetu
SERIKALI imesema kuwa taarifa zilizotolewa na vyombo vya habari vya Ulaya kuwa imeuza ardhi ya ukubwa wa kilomita za mraba 1000 za kilimo kwa Korea ya Kusini kwa ajili ya matumizi ya kilimo si za kweli.

Taarifa zilizotolewa jana na vyombo hivyo zilieza kuwa Korea Kusini imekubaliana na serikali ya Tanzania kufikia hatua hiyo ikiwa ni sehemu ya makubaliano kati ya mataifa masikini na tajiri duniani.

Afisa wa Shirika linaloendeshwa na Serikali ya Korea linaloshughulikia maendeleo ya kilimo vijijini, Lee Ki-Churl, alinukuliwa na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), akisema kwamba mkataba huo utasainiwa mwezi ujao.

Kwa mujibu wa taarifa hizo, mkataba wa makubaliano kati ya mataifa hayo mawili ni matokeo ya ziara ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda aliyoifanya katika mataifa ya mashariki ya mbali.

Akizungumza jana, Waziri wa Kilimo na Chakula na Ushirika, Steven Wasira, aliliambia gazeti dada la hili la The Citizen kuwa hakuwa na taarifa na mkataba huo.

"Nilikuwa sehemu ya ujumbe wa Waziri Mkuu Korea Kusini na kilichotokea kule hakikuwa zaidi ya kuwakaribisha wawekezaji wa kigeni katika sekta zote ikiwamo ya kilimo."

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Emmanuel ole Naiko alikanusha na akasema hakuna makubaliano yoyote yaliyofikiwa na serikali katika kilimo na Korea Kusini.
From Mwananchi.

O God! pleeease I wish this is true!!
 
Quote:
Korea to build farming infrastructure in Tanzania

Korea will develop large-scale farmland and a food processing complex in Tanzania that could help local companies make inroads into African and European markets, a state-run rural development corporation said Thursday, according to Yonhap News.

The project that could start next year involves development of 100,000 hectares of land in Pwani Province in the eastern African country, the Korea Rural Community Corp. (KRC) said.

"Of the total, half will be developed and given to Tanzanian farmers, with the rest to South Korean farming and food companies,"

Han Sang-woo, executive director of regional development at KRC said.

"We have asked Dar es Salaam to give us operating rights to 50,000 hectares of land in which South Korean businesses can raise grains and make processed foods like cooking oil, wine and starch,"the executive said.

50 percent inaenda kwao kubadilishwa kuwa juice na starch na chakula kwenye viwanda vyao ya kisasa vilivyoajiri watu wao.

sisi faida yetu katika mradi ni nini?
sijaona habari ya kulipa kodi wala kugawana mapato ikitajwa kilichoandikwa hapo juu ni kwamba, 50 percent ya ardhi itaendelezwa halafu watapewa hawa hawa farmers wetu.
sasa hawa wakulima sijui ni wepi wengine kama sio hawa ambao hawana elimu ya kilimo cha kisasa, wasiokua na pembejeo za kisasa na bila viwanda vya kutengeneza juice na starch nk, ambao matunda na mihogo wanayolima yanaozea shambani kama kule Chanika na Dondwe, wakiulizwa wanasema "hizi embe tushakula wee hadi tumechoka, sisi hapa chakula embe..asubuhi nchana na jioni lakini hata haziishi"

juzi juzi Mzuzu hapa JF forum ya business na economic allikuwa anatafuta idea za kupata mtaji aanzishe kilimo cha mihogo na kuset up plant kwa ajili ya kutengeneza starch, na wapo wengi tu wenye mawazo kama hayo, kwa nini watu kama Mzuzu wasipigwe jeki na hii "kilimo kwanza" kwa mikopo, elimu, ushauri wa kitaalamu etc ili ardhi yetu tunufaike nayo wenyewe?..kama utaalamu wa kilimo tulionao hautoshi kulima grains, mihogo, machungwa, maembe, na mapassion basi nakubaliana na wale wachangiaji walosema tufunge SUA twende huko huko kwao wakatufundishe
na kama hatuwezi hata kujenga viwanda vya kusindika vyakula, then kilimo kwanza ni changa la macho kwa watanzania.

I hope and pray that this whole news thing is a big lie
 
Back
Top Bottom