Korea yanunua ardhi "kwa mkopo" Tanzania, Serikali yasita kuthibitisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Korea yanunua ardhi "kwa mkopo" Tanzania, Serikali yasita kuthibitisha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by geek, Sep 24, 2009.

 1. g

  geek Member

  #1
  Sep 24, 2009
  Joined: Feb 12, 2009
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani tumefikia hapa? Huu mkataba ulisainiwa lini? Wapi na nani alihusika? Tanzania itanufaika vipi? Hayo ni baadhi ya maswali niliyojiuliza baada ya kuiona taarifa hii ambayo tayari imegonga international headlines.


  S Korea agrees Tanzania land deal

  South Korea says it has agreed to develop farmland in Tanzania - the latest in a series of such deals between rich and poor nations.

  Korean officials say 1,000 sq km (386 sq miles) will be developed - half for local farmers, half to produce processed goods for South Korea.

  Seoul also signed a deal last year to lease a vast area of Madagascar.

  Rich countries have increasingly sought farmland in poorer nations to help shore up food supplies.

  Countries such as China, Saudi Arabia, South Korea and Kuwait are short of arable land and have been seeking agricultural investments in Africa.

  But South Korea's deal in Madagascar - which would have seen it lease an area the size of Belgium from the island nation - has been thrown into uncertainty.

  Madagascar's government was overthrown in a coup earlier this year and the new leaders said they would scrap the deal, which was cited as one reason for the unrest.

  'Colonialists' gibe

  The state-run Korea Rural Community Corporation says a memorandum of understanding will be signed next month.

  The corporation says it will produce processed foods like cooking oil, wine and starch on the land.

  Lee Ki-Churl, a corporation official, said he expected Tanzanians to benefit from the deal.

  "Some African countries export fruit and import fruit juice, or export olives and import olive oil, simply because their past colonialists did not teach them how to process food," he told the AFP news agency.

  "We plan to set up an education centre for Tanzanian farmers in the food-processing zone in order to transfer agricultural know-how and irrigation expertise to them."

  He said about 100bn won ($83m) would be spent to develop an initial 100 sq km of land over the next few years.

  South Korea's Yonhap news agency reported that the corporation hoped to exploit deposits of iron ore, gold and copper in other parts of the Tanzania to help fund its project.

  The deal comes weeks after Tanzanian Prime Minister Mizengo Pinda visited Seoul, when the two nations promised closer ties.

  Source: BBC News
   
 2. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mbona maswali yako yamejibiwa kwenye hii habari au ulikua unataka kipi?
   
 3. g

  geek Member

  #3
  Sep 24, 2009
  Joined: Feb 12, 2009
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thing is, tumejifunza mara nyingi kuwa si kila tunachoambiwa ndivyo kilivyo. Maswali yangu ni kutaka kujua mpango huo ni wa manufaa kwa Tanzania? Ujue hapo ni mkataba umesainiwa, isije kuwa ni mambo kama migodi ya madini ambayo hatuambulii kitu cha maana. Lakini kwanini walifanya siri mpaka walipokubaliana.
   
 4. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,305
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo wanaanza na mtaji wa Kama 100bn (Tsh?). Hizi hazifikii hata zile za EPA. achilia mbali za Meremeta! Wakati huku home njaa inatudu!
   
 5. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2009
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hongera serekali ya Rais kikwete wananchi walikuchaguo kwa wingi wapo nawe ongoza taifa .
   
 6. O

  Ogah JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Surprise present.....kwa wanao.......lol
   
 7. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Aaa wapi ndugu yangu, au hujaiona hii quotation kwenye story?

  "South Korea's Yonhap news agency reported that the corporation hoped to exploit deposits of iron ore, gold and copper in other parts of the Tanzania to help fund its project."
   
 8. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2009
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,817
  Likes Received: 1,164
  Trophy Points: 280
  hapa ndo na mimi bado nna maswali kibao
   
 9. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #9
  Sep 24, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Naona Pinda na yeye anakubali kutumika kama rubber stamp. Hii dili lazima itakuwa na ina ringi kubwa ya ulaji. Let us wait and see how things unfold.
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  Sep 24, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  The reddish part is the insult of highest order. Nways, pamoja na matusi haya maafisa wa serikali ya Tanzania tena kwa wahka na pupa kabisa wataenda kusaini hiyo mi-memorandum yao. Hii nchi kweli haina mwenyewe..lol
   
 11. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #11
  Sep 24, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Sasa hapa nani akikwambia ndo utaamini?
   
 12. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #12
  Sep 24, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,661
  Likes Received: 1,496
  Trophy Points: 280
  Can someone stop this? Hivi sisi tulienda kusaini nao deal kama hilo kwneye ardhi yao watakubali?
   
 13. N

  Nanu JF-Expert Member

  #13
  Sep 24, 2009
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  "South Korea's Yonhap news agency reported that the corporation hoped to exploit deposits of iron ore, gold and copper in other parts of the Tanzania to help fund its project." [/QUOTE]
  This is where I have a problem. The deal is not clear if it is land for agriculture or for minerals exploitation. They want to exploit minerals to fund farming/agriculture.....I thought it could have been they will inject enough capital to fund the project. If they want to venture into minerals exploitation, it should come as another deal all together which should be negotiated and thought out differently at its own weights of merits and demerits. Inawezekana huu ni uuzwaji mwingine wa nchi. Na hiyo mikataba itakuwa siri mpaka itakapokuwa implemented then watu wataanza kusema ilikuwa mibaya. Take a example of the recent TRL cas...
   
 14. M

  Mbalamwezi JF-Expert Member

  #14
  Sep 24, 2009
  Joined: Sep 30, 2007
  Messages: 803
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
 15. M

  MtazamoWangu JF-Expert Member

  #15
  Sep 24, 2009
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nashindwa kujua wapi tunaelekea, hata kama tuna njaa na ni maskini, hatuwezi kukumbilia kuliingiza taifa katika mikataba ambayo haijulikani na itakuja kuwa ni mizigo kwa vizazi vijavyo...

  Kwa sheria na katiba yetu ya nchi ninavyoelewa mikataba yote ya serikali lazima ijadiliwe bungeni... lakini kwa nini tumekuwa wavunjaji wa kwanza wa sheria zetu....

  Kama ni kwa manufaa ya nchi kila mtu ataona, kwanini waamue wachache kwa nafasi zao.......HII NI NCHI SIO SHIRIKA....
   
 16. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #16
  Sep 24, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hii itatusaidia kupata manufaa kwani nusu nzima ya hayo mazao yanabaki kwenye soko letu, tutajifunza namna ipi wenzetu wataweza kufanya kinachotushinda sisi kwa sasa kwenye Ardhi yetu.

  Seuse, Nyerere alitaifisha mashamba kibao kwa wakulima wakubwa baada ya azimio la Arusha yakatushinda kuyaendesha kama tunavyojuwa. Sasa kwa nini tusiwa[e watu wanaoweza ili tujifunze na tufaidike?

  Hii ya kusema Tanzania inauzwa kwa Korea, ni uzushi, fitina na majungu yasiyo na maendeleo, hizi roho mbaya ndio zinatufanya tusiendelee, ndio haya yananifanya nikubaliane na kauli ya ''Miafrika Ndivyo Tulivyo''!
   
 17. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #17
  Sep 24, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Mbalamwezi,
  Lakini hatujasikia kuwa Putin amewapa Wakorea ruhusa ya kuchimba natural gas ili kugharimia huo mradi. That is the big difference! Watachimba dhahabu yetu na madini mengineyo, kugharimia mradi na faida wanaweka mfukoni.
   
 18. g

  geek Member

  #18
  Sep 24, 2009
  Joined: Feb 12, 2009
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We consume news products differently, so I'll keep my igonrance for now at least.
   
 19. M

  Mbalamwezi JF-Expert Member

  #19
  Sep 24, 2009
  Joined: Sep 30, 2007
  Messages: 803
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Geek,

  kichwa cha hii thread yako, hakika kinatia chumvi nyingi kwenye habari hii. Hebu jaribu kuisoma na kuichambua kwa umakini kidogo, uangalie hata pande zote za uwekezaji unaozungumziwa, hasi na chanya. Vinginevyo utakuwa umezama kwenye wimbi la waandishi wa magazeti uchwara ya yellow journalism mkuu!
   
 20. g

  geek Member

  #20
  Sep 24, 2009
  Joined: Feb 12, 2009
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu, kama wewe huamini kuna walakini basi unaishi sayari nyingine. Tutajie mradi mmoja mkubwa ulioendelezwa Tanzania pasipo kashfa ya corruption.

  It's like stating the obvious. Kama wewe au jamaa zako watanufaika, basi una kila sababu ya kuunga mkono vitu hivyo bila kuwa details

  Lakini tofauti ni moja, kama hakuna manufaa na unaunga mkono, basi sina cha kusema.
   
Loading...