Korea Kaskazini leo wameogopa kufanya majaribio ya silaha

The US won't let the rogue state of N Korea strike first.

N Korea regime is a real threat to the world peace
 
Hiroshima na Magasaki wengi hatukuwepo dunian,,ilipigwa atomic moja matata sana pale,,sasa limeboreshwa kwa miaka zaid ya 50 likipigwa pale Seoul kizaz hiki kitashuhusia na haitasahaulika mpka dunia iishe,,team us tunakwenda kuionyesha dunia kwamba kuna Marekan moja tu dunian
Mungu awatangulie katika hayo mashambulizi
 
The US won't let the rogue state of N Korea strike first.

N Korea regime is a real threat to the world peace
Mkuu acha kufikir hivyo kuwa NK ni tishio kwa amani ya Dunia,NO!
Hapa ni kwamba Maendeleo ya Marekani yanategemea sana nguvu yake kijeshi ktk Dunia hii hivyo bas atatumia nguvu yoyote kuweza kuzoofisha nchi yoyote inayoonekana kukua kijeshi Dunia hasa nchi zisizofungamana nayeye
Na mara nyingi US husema hivi kama nchi ni tishio kwa usalama wa Dunia,Mara kupambana na ugaidi,mara kulinda haki za raia n.k
But this time ameingia choo cha kike
Yaan kama ingekuwa kwenye betting hapa ningeweka option ya 12,maanake either US au NK mmoja wapo apigwe
 
NK atapigwa tu. US wanavyojua fitna, wanaweza hata kujilipua wenyewe halafu wamsingizie NK ili wapate internal na external support ya kuichapa NK.

Bado nakumbuka vizuri sana fitna ya WMD iliyopigwa dhidi ya Iraq. US ni habari nyingine sana.
 
  • Thanks
Reactions: MC7

Fitna zote mapunk anazijua ndo maana amekaa kimya tu utadhan koboko(Black mamba)
Huyu(koboko) nyoka huwa anajihami sana na miongon ya nyoka wenye uwezo mzur wa kumshambulia adui
 
Mkuu acha kufikir hivyo kuwa NK ni tishio kwa amani ya Dunia,NO!
Hapa ni kwamba Maendeleo ya Marekani yanategemea sana nguvu yake kijeshi ktk Dunia hii hivyo bas atatumia nguvu yoyote kuweza kuzoofisha nchi yoyote inayoonekana kukua kijeshi Dunia hasa nchi zisizofungamana nayeye
Na mara nyingi US husema hivi kama nchi ni tishio kwa usalama wa Dunia,Mara kupambana na ugaidi,mara kulinda haki za raia n.k
But this time ameingia choo cha kike
Yaan kama ingekuwa kwenye betting hapa ningeweka option ya 12,maanake either US au NK mmoja wapo apigwe
Utawala wa kiimla wa N Korea hatari kwa usalama, mtu makini hupaswi kuunga mkono
 
The US has no problem with great people of N Korea. For the US problem is with autocratic regime
Nope, I watched a documentary not long ago. USA says It's problem with NK is regarding the Nuclear Missile test, not it's leadership. but nonetheless we will see. Hakuna tutachosema kinachobadilisha kitu, wacha tuinjoy muvi
 
Mimi sio Dogo. Niko imara na fahamu zangu nyingi tuu. Vita in utashi na uzalendo kijana. Vita ya kagera ss tulikua na nn kuliko Idd Amini ?vita ya Viet nam walikua na nn ? Mmarekani alipigwa asubuhi. Nk iko huko huko Am. Alipopata kisago (1972),
me sishabiki vita ila naona nk.wanaonyesha isia zao kua sio kila utawala unapenda kua vibara wa usa.hawa jamaa wamejipanga kufa ata wote kuliko kua vibaraka usa
 
Utawala wa kiimla wa N Korea hatari kwa usalama, mtu makini hupaswi kuunga mkono
Sasa huo utawala wa kiimla unamuhusu nin marekan.Unatakiwa kufikiri nje ya box ili unielewe maana yangu mkuu
Hata kwa Marehemu Gaddaf alisema hivyo hivyo wakat hao waliompinga Marehemu ilikuwa trick ya us ili badae aingie kwa kigezo cha kuwa unga mkono.But ni nchi gan iliyokuwa na raha ya kuishi kama Libya baran Africa then hii Libya ina nin hasa mpaka NATO kutumia gharama??!!
Fikiria sana mkuu,Marekani siku zote anataka kutawala Dunia kijeshi ili kulinda maslah yake hakuna sababu nyingine mkuu.
Yaan hata Tz itagundua kiwango kikubwa cha mafuta ya petrol kuwahi kutokea Dunian then tukasema tutalinda kwa kuhakikisha mafuta hayo yanachimbwa na kuuzwa kwa uongoz wetu tu bila ya kumshirikisha US bas tutapigwa tu maana hakuna namna sasa.
Na watu wenye kumfahamu vizur Us bas wanaomba vita itokee na Us ashikishwe adabu maana n mtoto mtukutu
 
Nope, I watched a documentary not long ago. USA says It's problem with NK is regarding the Nuclear Missile test, not it's leadership. but nonetheless we will see. Hakuna tutachosema kinachobadilisha kitu, wacha tuinjoy muvi
Utawala wa Kim ndiyo unafanya hayo majaribio sasa huoni logic yako haina mashiko kusema US hana tatizo na leadership under president Kim?

Rudia kusoma ulichoandika.

And for your info....the hostility btn the US and rogue state of N Korea have not began lately. In fact it goes back before 1995 when the administration of Clinton threatened to attack N Korea.

Kim analazimisha nchi yake kuwa na nyuklia kwa ajili ya masilahi yake si masilahi ya watu wa N Korea. You should have know this before you come up with your documentary blah blah blah
 
  • Thanks
Reactions: MC7
The US has no problem with great people of N Korea. For the US problem is with autocratic regime

Lame excuses as usual - buzz word "regime change!!" What a crafy way of Trump/CIA trying to instigate Korean people to revort against their leader, he goes "the US has no problem with great people of N Korea, the problem is with autocratic regime" - "autocratic regime" - utawala wa KK unawahusu nini,Marekani yenyewe ina mabom ya thermonucleat zaidi ya 6,500(elfu sita mia tano yenye combined uwezo wa kuua Dunia mara elfu) KK wakitaka kuhodhi ya kwao kwa ajili ya kujilinda kuna ubya gani?

Trump bwana! Eti hana tatizo na raia wa KK anayasema hayo huku anajitayarisha kuwamaliza kwa thermonuclear bombs, oh yes bombing them back to stoneage era - kisa? hampendi kiongozi wao, Trump yupo tayari kufanya miscalculation na kuitumbukiza Dunia nzima kwenye vita ya thermonuclear - akili zake za kuto ona mbali anafikiri Kim yupo peke yake katika kumtunishia misuli TRUMP.
 
Utawala wa Kim ndiyo unafanya hayo majaribio sasa huoni logic yako haina mashiko kusema US hana tatizo na leadership under president Kim?

Rudia kusoma ulichoandika.

And for your info....the hostility btn the US and rogue state of N Korea have not began lately. In fact it goes back before 1995 when the administration of Clinton threatened to attack N Korea.

Kim analazimisha nchi yake kuwa na nyuklia kwa ajili ya masilahi yake si masilahi ya watu wa N Korea. You should have know this before you come up with your documentary blah blah blah

Is USA the world Police? KIM kufanya majaribio ni biashara zake binafsi. Jaribu kuvuta kumbu kumbu kidogo kwa Kilichojiri Libya na Iraq. Ipi kati ya Nchi hizo zilinufaika kwa kuingia mmarekani?

USA yuko tayari kufanya mazungumzo NK ili kusitisha program zake za nyuklia, na si kuhusu mfumo wa uongozi wa KIM au udikteta.
 
Sasa huo utawala wa kiimla unamuhusu nin marekan.Unatakiwa kufikiri nje ya box ili unielewe maana yangu mkuu
Hata kwa Marehemu Gaddaf alisema hivyo hivyo wakat hao waliompinga Marehemu ilikuwa trick ya us ili badae aingie kwa kigezo cha kuwa unga mkono.But ni nchi gan iliyokuwa na raha ya kuishi kama Libya baran Africa then hii Libya ina nin hasa mpaka NATO kutumia gharama??!!
Fikiria sana mkuu,Marekani siku zote anataka kutawala Dunia kijeshi ili kulinda maslah yake hakuna sababu nyingine mkuu.
Yaan hata Tz itagundua kiwango kikubwa cha mafuta ya petrol kuwahi kutokea Dunian then tukasema tutalinda kwa kuhakikisha mafuta hayo yanachimbwa na kuuzwa kwa uongoz wetu tu bila ya kumshirikisha US bas tutapigwa tu maana hakuna namna sasa.
Na watu wenye kumfahamu vizur Us bas wanaomba vita itokee na Us ashikishwe adabu maana n mtoto mtukutu
Unadhani United States anafanya haya kwa kukurupuka?

If you didn't know the US won't go ahead and attack hostile nation with no approval from the Security council.

The decision to go into war is no easy one. In fact the US won't choose war unless it's genuinely necessary to use military force.

America asipo hakikisha N Korea anadhibitiwa kwenye mbio zake za nuklia hatari itakuwa kubwa. Si ajabu vikundi vya kigaidi navyo vitaaweza miliki nyuklia

Haya mambo yanafanyika for the greater good usishutumu America.
 
Lame excuses as usual - buzz word "regime change!!" What a crafy way of Trump/CIA trying to instigate Korean people to revort against their leader, he goes "the US has no problem with great people of N Korea, the problem is with autocratic regime" - "autocratic regime" - utawala ya KK unawahusu nini, eti hana tatizo na raia wa KK huku anajitayarisha kuwamaliza na thermonuclear bombs - kisa? hampendi kiongozi wao, Trump yupo tayari kufanya miscalculation na kuitumbukiza Dunia kwenye vita ya thermonuclear, ajabu SANA.
N Korea is a real threat to the world peace. You should know this

Given the goal of rogue states like N Korea the US can no longer solely rely on reactive posture.

The inability to deter potential attacker like N Korea, the immediacy of todays threat and the magnitude of potential harm that could be caused by N Korea's choice of weapons, I can say the US has no choice but to attack first.

Kim is a wicked man. He is building nuclear missiles only to protect his selfish interests not that of N Korea people.

I don't understand why people support the dictator.
 
Is USA the world Police? KIM kufanya majaribio ni biashara zake binafsi. Jaribu kuvuta kumbu kumbu kidogo kwa Kilichojiri Libya na Iraq. Ipi kati ya Nchi hizo zilinufaika kwa kuingia mmarekani?

USA yuko tayari kufanya mazungumzo NK ili kusitisha program zake za nyuklia, na si kuhusu mfumo wa uongozi wa KIM au udikteta.
It is sad you fail to recognize the danger of N Korea nuclear

N Korea has been violating international agreements regarding weapons of mass destruction for decades now.

The UN Charter calls upon the elimination from national armament of nuclear weapons, biological weapons and other weapons of mass destruction. Who the hell is Kim that he doesn't adhere to the rules laid down by international community?
 
Back
Top Bottom