Korea kweli wanaume hakuna!

Kalaga baho

JF-Expert Member
Sep 27, 2020
5,395
11,078
Habari za muda huu wanajamvi, hiki kitu muda mrefu nlikuwa najiuliza. Ina mana hata tukisema kuwa romantic ndo kujidekeza kulembua lembua bila sabab za msingi. Na kujikoroga na make up mezani "half an hour" , asee seriously!?? Nmeshangaa kinadada wa bongo kuwapenda kim joo sijui hong yong wa series kunaletwa na nn!? . asee hii kibongo bongo ni u'chakula' huu
Screenshot_20210919-122652.jpg
 
Fuatilia mambo kabla hujafanya conclusion, wakorea wanapenda sana kujiremba si wanaume si wanawake, hiyo haimaanishi kwamba huko wengi wao ni wakina Lokole.

Labda kwa kuongezea tu, moja kati ya nchi ina sheria very strict mbele ya ushoga basi ni Korea
 
Ndo kujilamba lamba na kulamba koni
 
Wakorea wanapenda sana urembo na ni kawaida hakuna mtu anamshangaa mwenzie. Tena wako very strict kwenye sheria hasa kwa celebrities kuwa na scandal za kipuuzi zinaweza haribu career yako maisha yako yote.
Kim jin, huu urembo unauonaje ukifanywa n mwanaume wew kama kijana wa kiume!?
 
Jifunze cultural diversity duniani, usidhani kuwa mchafu ndiyo dalili urijali, wakorea siyo wamakonde kama mimi na wewe tuwaache.

Ila tuwahukumu wasukuma wenzetu ikiwa wataonekana wanaume baadhi wanajiremba isivyo kawaida yetu.

Usidhani duniani kote wanaume imara ni wale wanaokula ugali, wengine hawajui ulivyo.
 
Hao ni wa kuwala kisamvu tu, hakuna wanaume hapo. Hao hapo utawafananisha na dullah mbabe au kiduku!
 
Kim jin, huu urembo unauonaje ukifanywa n mwanaume wew kama kijana wa kiume!?
We ambacho unakwama ni kujua tofauti kuwa kule no Korea wana maisha ya raha na wewe upo Tanzania unaganga na Mwigulu nchemba uko na stress mob kila kitu unachunguza unaona sio kawaida ila ni stress zako tu, huko kwao ni kawaida tu. Hata Bongo kulamba koni sio jambo baya sema watu wamejaa ujinga mwingi na kuaminishana hizo mambo za mademu. Wanaume bongo anavaa boksa wiki anaona ndo uanaume na masela wakijua unavaa boksa tofauti kila siku basi utataniwa mno. Kwahiyo tatizo sio wao, tatizo ni uelewa wako mdogo
 
We unweza kulamba koni macho yamelegea unaangalia juu!?
 
Jifunze cultural diversity duniani, usidhani kuwa mchafu ndiyo dalili urijali, wakorea siyo wamakonde kama mimi na wewe tuwaache.

Ila tuwahukumu wasukuma wenzetu ikiwa wataonekana wanaume baadhi wanajiremba isivyo kawaida yetu.

Usidhani duniani kote wanaume imara ni wale wanaokula ugali, wengine hawajui ulivyo.
Wale wachaf waganga w jadi mkuu bariadi na shinyanga.. Wasukuma mbona kazi kwao ndo mlo kamili! Huwez kuta rijali anakuw romantic mpaka anashindan n dem wake in nature.... Korea wabdilike tu
 
Jamaa wanatamaduni kali, hata movies zao sijaona hata moja ambayo wanakiss, unakuta mwanaume na mwanamke wanaigiza kwenye scene la mapenzi lakini midomo haigusani, na hii iko kote bara Asia hata kwa Wahindi.
Sio kama uzunguni mwendo wa denda nje nje.
 
Back
Top Bottom