Korea Kusini yaondolewa vizuizi vya makombora. Ruksa sasa kuunda makombora yenye uwezo mkubwa zaidi!

S.Korea to develop 'Iron Dome'-style defence system to counter North's artillery

South Korea approved plans on Monday to pursue a $2.6-billion artillery interception system, similar to Israel's "Iron Dome", designed to protect against North Korea's arsenal of long-range guns and rockets, the defence acquisition agency said.

 
S.Korea to develop 'Iron Dome'-style defence system to counter North's artillery

South Korea approved plans on Monday to pursue a $2.6-billion artillery interception system, similar to Israel's "Iron Dome", designed to protect against North Korea's arsenal of long-range guns and rockets, the defence acquisition agency said.

ha ha ha ha n korea cyber unit wata deal nayo hiyo
 
Mjapani ana teknolojia kubwa sana ya uundaji wa roketi za anga za mbali. Ukiachana na hilo, pia ana asilimia zipatazo 90 za madini yote yanayotumika kuunda silaha za nyuklia (weapon-grade plutonium) kwa nchi zisizo na silaha hizo duniani.

Hizi asilimia 90 za weapon-grade plutonium ni ulinzi tosha kabisa (deterrence) kwa nchi isiyo na silaha za nyuklia kwa sababu zinaweza kutumika kuunda idadi kubwa ya silaha kwa muda mfupi sana (miezi 6 hadi 12). Ndio maana wataalamu wa masuala ya nyuklia wanapenda kuutumia msemo mmoja maarufu sana kwamba: "Japan has nuclear bomb in the basement".

Kitu kimoja ambacho kinaizuia zaidi Japan kuunda silaha hizo ni upinzani mkubwa kutoka kwa wananchi (public opposition) dhidi ya silaha hizo ukizingatia kuwa Japan ni nchi ambayo imekwisha pata uzoefu wa madhara ya silaha za nyuklia. La sivyo, hivi sasa ingekuwa ni nchi ya tatu kwa wingi wa silaha za nyuklia baada ya Marekani na Urusi.
Wajapani pia waliishawekewa vikwazo vya silaha na marekani baada ya vita vya pili vya dunia. Kama tunavyoona wenzetu wanaheshimu sana makubaliano.
 
Ili taifa lako liwe na amani na furaha na maelewano kwa mataifa mengine, kaa mbali na marekani na wala msishirikiane kwa chochote.
Huwezi kukaa mbali na USA, ikitokea hivyo nchi yako itaitwa wafadhili wa igaidi..Shutuma zote chafu hapa duniani zitakuangukia.
 
Back
Top Bottom