Korea Kusini wako juu

Rabin

Senior Member
Mar 21, 2009
181
39
Serikali ya korea kusini imeweka utaratibu wa kuongeza idadi ya watoto kwa watu wake kufanya kazi nusu siku kila jumatano ya wiki ya tatu ya mwezi. huu ni mpango maalumu kwa ajili ya kuongeza idadi ya watoto kwani wamegundua kwamba kaitka miaka ya usoni wanaweza kupungukiwa na vijana wachapa kazi, hii ingekuwa kwetu hapa sijui ingekuwaje maana inataka umakini na ujasiri wa maamuzi kwa serikali husika, Hii inaonesha wenzetu wako serious na shughuli za maendeleo zaid kuliko starehe!!ni fundisho kwetu hilo.
 
Back
Top Bottom