Korea Kaskazini yadai Marekani imetangaza vita

Super Don

JF-Expert Member
Dec 10, 2016
1,978
1,780
Korea Kaskazini yailaumu Marekani kwa kutangaza vita

Waziri wa mambo ya nje wa Korea Kaskazini wamedai kwamba rais wa Marekani Donald Trump ametangaza vita dhidi ya taifa hilo.

Ri Yong-ho aliwaambia waandishi wa habari kuwa Korea Kaskazi ina haki ya kudungua ndege za vita za Marekani.

Hi ni hata kwa zile ndege zenye hazipo katika anga ya Korea Kaskazini, aliongeza waziri huyo.

"Dunia ni lazima ikumbuke kuwa Marekani ndiyo ilikuwa ya kwanza kutangaza vita," Bwana Ri alisema.

Pande hizo mbili zimekuwa zikitupiana maneno makali.

Licha ya majuma kadhaa ya misukusuko, wataalamu wanasema kuwa hakuna uwezekano wa makabiliano ya moja kwa moja kati ya Marekani na Korea Kaskazini.
 
Waziri wa mambo ya nje wa Korea Kaskazini wamedai kwamba rais wa Marekani Donald Trump ametangaza vita dhidi ya taifa hilo. Ri Yong-ho aliwaambia waandishi wa habari kuwa Korea Kaskazini ina haki ya kudungua ndege za vita za Marekani. Hi ni hata kwa zile ndege zenye hazipo katika anga ya Korea Kaskazini, aliongeza waziri huyo. "Dunia ni lazima ikumbuke kuwa Marekani ndiyo ilikuwa ya kwanza kutangaza vita," Bwana Ri alisema. Pande hizo mbili zimekuwa zikitupiana maneno makali. Licha ya majuma kadhaa ya misukusuko, wataalamu wanasema kuwa hakuna uwezekano wa makabiliano ya moja kwa moja kati ya Marekani na Korea Kaskazini. Mada zinazohusiana

Kiduku apigwe...............
 
Marekani ametuwekea vilwazo akaona hatutetereki bado anazidi kuwashwa nahisi anataka kukunwa.
 
Hapa kitawaka mda si mrefu,
kwani marekani atarusha ndege kutest zali,
harafu korea wakidungua tu ,game is on..

Hapa marekani lazima afikiri sana kabla hajawachallenge wakorea,maana mara nyingi wanasema na kutenda
 
Marekani umesika toka Korea rusha tena uhakikishe maneno ya wakorea kuwa umetangaza vita usije ukatangaza vita ukaenda kujificha kama mchezo wa komborela kuwa Korea wakutafute ulipo.
 
Back
Top Bottom