Korea Kaskazini yaanzisha mafunzo ya Kijeshi kwa watoto wadogo

You have 1 new alert...hahaha hivyo tu
Na je unajushugulusha na nini kujipatia mkate wa kila siku? Ufanisi wako ukoje huko?
Unawezaje ku balance ratiba zako vs muda unaotumia kuwa wa kwanza ku coment almost kwenye kila topic mpya?
Asante.
 
Hii hata China Ipo sana. China wana chuo cha Kijeshi cha watoto wadogo
 
Anafanya kitu kibaya sana na si yeye Wa kwanza Hitler alianzisha kitu kinaitwa Hitler Youth na SS hawa walifanya mauaji makubwa katika vita ya pili ya Dunia.

Makundi haya yalikua hatari kwa binaadamu hata zaidi ya jeshi la German.
 
Back
Top Bottom