Korea Kaskazini watishia kuzifuta katika ramani ya dunia Japan na Korea Kusini

Walimhisi Sadam Hussein kua anamiliki silaha za maangamizi wakamvamia ila huyu Kim kwa mdomo wake mwenyewe kasema anazo. Basi tunataka wamvamie.
Kwa saddam walikuwa na uhakika kabisa hazipo, ila kwa huyu mwamba wapo 50X50, usa akirusha kombora Pyongyang huko Washington nako wanaweza kuoga mvua ya intercontinental ballistics, ni mjinga pekee atakaefanya maamuz ya kumuingilia kim kipindi hiki
 
Wanaogopa nn kurusha mawe mbona wanasema wana interception system za uhakika. Ebu waache uoga, warushe tu mawe Pyongyang
 
"TUTAANZA KWA KUZIFUTA JAPAN NA KOREA KUSINI KWENYE USO WA DUNIA", Kim Jong Un

Akihutubia Kongamano la Chama cha wafanyakazi Jijini Pyongyang, Kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un, Amewatahadharisha NATO na Mkuu wa US wasijaribu kueneza chokochoko Karibu na Jamhuri yake kwa Kufanya Mazoezi na Kusogeza silaha katika Nchi za Japan na south Korea.

"Ndiyo wanafanya Mazoezi, ni Kitisho tu, tena kutoka kwa wajinga na waoga, Sisi tumeshakuwa Tayari miaka 10 ama 15 kabla ya Leo, tuna silaha za kutisha...na mtu yeyote ajaribu"...mwenrndo wao wa uchokozi sasa umefika pabaya, Lakini kama ni kutuvamia Basi wamechelewa, Ma comrades wetu wapo macho na Wataalam wangu wameunda silaha hazijawahi kufikiriwa Ulimwenguni"...

"Wamo KWENYE Mipaka ya Mabepari wenzao, wamo Japan na wanatishia kwa kuleta Mazoezi, Nawaambia Kabla risasi yao moja haijatua kwenye Ardhi ya Jamhuri hii, Japan na Korea zitakuwa zimefutika kwenye USO, tutazifuta kabisa, naam zitafutika ili hao majangili wakose pa kudai wanafanya Mazoezi"...

" Silaha zetu ni za kutisha na bahati njema hazizuiliki na mfumo wowote, na kwa namna ya ubora wake, haitatuchukua dakika 30 kuvifuta kabisa visiwa vya hawa wachokozi"...Na Mimi sitanii, na tena sisemi neno bure, wajaribu"...

Bwana Kim pia aliongelea suala la Covid-19 na kudai kuwa nao ilikuwa ni silaha ya uchokozi kwa watu wa Korea Lakini hatua stahiki na za upesi zimesaidia kukabili ugonjwa huo...

View attachment 2295330
Chanzo cha habari hii nini?🤔
 
Japan na South Korea wamekuwa mabwege kwa sababu ya kumsikiliza mmarekani. Yaani Japan imekuwa ya kuchimbiwa mikwara na North Korea!? Inasikitisha sana na sasa Europe imeingizwa chaka na marekani na wasipokuja kushtuka mapema Europe haitakuwa tofauti na Africa
Japan washaathirika na ushoga pamoja na hao Korea kusini. Wamelegea sana na wako kama robots wa US.
Wanaume kamili kama North Korea na Urusi huwa hawana masihara.
 
Kwa saddam walikuwa na uhakika kabisa hazipo, ila kwa huyu mwamba wapo 50X50, usa akirusha kombora Pyongyang huko Washington nako wanaweza kuoga mvua ya intercontinental ballistics, ni mjinga pekee atakaefanya maamuz ya kumuingilia kim kipindi hiki
Kim mwenyewe kila siku anatesti mitambo anatamani atokee boya mmoja amfue kisawa sawa ili kujipima misuli 😂😂😂!

Yani yeyote atakaeleta shobo Kiduku ataishi nae kwa sababu anamsubiria kwa hamu sana.
 
Back
Top Bottom