Korea Kaskazini kumwaga vipeperushi kujibu mapigo ya Korea kusini

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Korea Kaskazini imesema tayari imekamilisha uchapishaji wa vipeperushi Milioni 12 vinavyomkejeli Rais wa Korea Kusini Moon Jae-in, baada ya Korea Kusini kusambaza vipeperushi vinavyomkejeli Kim, Korea Kaskazini imesema vipeperushi hivyo vitamwagwa Korea Kusini kutokea juu kwa kutumia parachuti 3000.

Vipeperushi hivyo vitamwagwa Korea Kusini kama sehemu ya kisasi baada ya Korea Kusini kusambaza vipeperushi vinavyomkejeli Kim Jong Un, kipeperushi kimoja kinamuonesha Rais wa Korea Kusini akinywa pombe na caption inasomeka ‘Bwana mkubwa huyu amekula vyote hadi makubaliano na Korea Kaskazini ameyala pia’

Ugomvi baina ya Nchi hizo mbili umeendelea kushika kasi baada ya Korea Kusini kusambaza vipeperushi hivyo vinavyomkosa Kim hali iliyopelekea Korea Kaskazini kulipua jengo la ushirikiano wa Nchi hizo mbili, kukata mtambo wa mawasiliano na kutishia kuchukua hatua kali za kivita kwa Majirani zao.
 
Huyu dogo anapenda sana fujo,hapo utakuta anachokoza kama wakimwaga vipeperushi waone korea kusini wajibu mapigo ili kupata kisingizio cha vita
 
Huyu dogo anapenda sana fujo,hapo utakuta anachokoza kama wakimwaga vipeperushi waone korea kusini wajibu mapigo ili kupata kisingizio cha vita
Kwani SK alipoanza kusambaza vipeperushi alikuwa akipalilia Amani!?
Hivi ukiwa nyumbu wa cdm,kisha ukawa shabiki wa USA huwa mnatumia kiungo gani kufikiri?
 
Huyu dogo anapenda sana fujo,hapo utakuta anachokoza kama wakimwaga vipeperushi waone korea kusini wajibu mapigo ili kupata kisingizio cha vita
We kituko , cjui kama ile kitu inaitwa ubongo kama inayo kichwa yako .kama huna ngoja tukukumbushe Korea kusini katuma sms Korea kaskazini ndio anataka kumjibu ,sasa utasemaje anapenda vita asipomjibu c ataonekana anajiona, anadharau ,anajiskia au wewe ukimtumia mtu sms unategemea nini kama sio kujibiwa.
 
Huyu dogo anapenda sana fujo,hapo utakuta anachokoza kama wakimwaga vipeperushi waone korea kusini wajibu mapigo ili kupata kisingizio cha vita
Yaani aloanza kutuma hapendi fujo ila anaemalizia kujibu baada yakutumiwa ndio anapenda fujo

Kweli kunashida mahali asee daah......
 
Ila korea kusini imefanya ishu ndogo but yeye anataka kuikuza
Yaani aloanza kutuma hapendi fujo ila anaemalizia kujibu baada yakutumiwa ndio anapenda fujo

Kweli kunashida mahali asee daah......
 
Ila korea kusini imefanya ishu ndogo but yeye anataka kuikuza
Sasa wakulaumiwa nani kati yahapa muanzilishi ama muendelezaji wahilo jambo ?!

Kua muwazi namkweli bilakuegemea upande fulani.....
 
Korea kusini wamekosea,lakini haijafika hatua kaskazini kumind
Sasa wakulaumiwa nani kati yahapa muanzilishi ama muendelezaji wahilo jambo ?!

Kua muwazi namkweli bilakuegemea upande fulani.....
 
Korea kusini wamekosea,lakini haijafika hatua kaskazini kumind
Kwanini wasimaindi unajua korea kusini waliwafanya kitu gani ?!

Nakwani wamemaind kwakufanya kipi ambacho wanataka kufanya KASKANIZI ?!
 
Kila siku wanachorwa kwenye makatuni mbona,acheni mahaba na kim siyo kila kitu kumind ,vitu vidogo kama hivo anaonekana hamnazo
Kwahiyo rais kutukanwa Jambo dogo ? Usichukuliwe kutukanwa wewe huko mtaani na kutukanwa Rais hebu vuta picha tu hiko kitu kitokee kwenye nchi yako nchi jirani wanatuma ujumbe wa matusi ya kumtukana Rais wa nchi yako na ikiwa wewe ni raia tu ila utakerekwa na hiyo dharau sasa vuta picha wewe ndie muhusia muheshimiwa Rais .unapoengea uwe unafikiria Kwanza uhalisia wa mambo
 
Mkuu wewe una mahaba huangalii facts ngoja nikuache tu
Kwanini wasimaindi unajua korea kusini waliwafanya kitu gani ?!

Nakwani wamemaind kwakufanya kipi ambacho wanataka kufanya KASKANIZI ?!
 
Mkuu wewe una mahaba huangalii facts ngoja nikuache tu
Sina mahaba wacha tuone kim akijibu KOREA watachukua hatua gani wao kama wao

Maana KOREA ndio waloanza

Halaf kutukanwa rais nataifa jengine sio jambo dogo kama unavyotaka kuliaminisha
 
Kila siku wanachorwa kwenye makatuni mbona,acheni mahaba na kim siyo kila kitu kumind ,vitu vidogo kama hivo anaonekana hamnazo
Kuchorwa ndio tusi ?!

Hamnazo korea kusini anaeharibu masuala yakidimplomasia kwamambo yaajabu ajabu
 
Mkuu wewe una mahaba huangalii facts ngoja nikuache tu
Kwahiyo Kenya walivyokataa kutambua vyeti kutoka upande wa Tanzania ingekuwa we ndio Rais unaonekana usingechukua hatua yeyote ungesema bc sawa tu nwapimwe tena Mambo mdogo tu hayo ee
 
Back
Top Bottom