Korea Kaskazin iyaonya dhidi ya kupelekwa kwa makombora mapya nchini korea kusini

FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
May 27, 2016
5,416
7,828
Korea Kaskazini Yaonya Dhidi ya Kupelekwa kwa Makombora Mapya Nchini Korea Kusini

1565786234267.png


Korea Kaskazini imesema leo kuwa jaribio lolote la Marekani la kupeleka mifumo ya makombora ya masafa ya kati nchini Korea Kusini litazusha zama mpya za vita baridi na kuzidisha mashindano ya kuunda silaha kwenye rasi ya Korea.

Waziri wa Ulinzi wa Marekani Mark Esper alisema mapema mwezi huu kuwa anaunga mkono kupelekea mifumo ya makombora ya masafa ya kati barani Asia, sikum moja baada ya Marekani kujitoa kutoka mkataba na Urusi wa kuzuia uundaji makombora ya nyuklia.

Korea Kaskazini imesema mpango huo wa Marekani unalenga kutanua nguvu zake kwenye eneo la KaskaziniMashariki ya Asia na siyo kutoa ulinzi kwa Korea Kusini dhidi ya kitisho kutoka mataifa hasimu.

Korea Kusini kwa upande wake imesema hakujafanyika mazungumzo yoyote ya kuweka mifumo ya makombora ya Marekani nchini humo na hadi sasa hakuna mipango ya kufanya hivyo.

1565786385138.png




Reuters Reports:
Deploying new U.S. missiles would be 'reckless act' - North Korean media

SEOUL (Reuters)
- Any move by the United States to place new ground-launched, intermediate-range missiles in South Korea could spark a “new Cold War” and an escalating arms race in the region, North Korean state media said on Wednesday.

U.S. Defense Secretary Mark Esper this month said he was in favour of placing ground-launched, intermediate-range missiles in Asia, a day after the United States withdrew from the Intermediate Nuclear Forces (INF) treaty with Russia.

“The U.S. pointed out that it is now examining a plan for deploying ground-to-ground medium-range missiles in the Asian region and South Korea has been singled out as a place for the deployment,”

North Korea’s state news agency KCNA said.

“It is a reckless act of escalating regional tension, an act that may spark off a new Cold War and arms race in the Far Eastern region to deploy a new offensive weapon in South Korea,” it said in a commentary.

Other senior U.S. officials have said any deployment of such weaponry would be years away.

South Korea’s defence ministry has said there had been no discussion of placing American intermediate-range missiles in the country, and there were no plans to consider the idea.

The KCNA statement also criticised recent moves to improve military sites in South that host U.S. Terminal High Altitude Area Defense (THAAD) systems, which are designed to intercept ballistic missiles.

“It is a hard fact that the deployment of THAAD is pursuant to the U.S. strategy to contain great powers and hold supremacy in Northeast Asia, not the one for ‘shielding’ South Korea from someone’s ‘threat’,” KCNA said.

North Korea’s military has launched a series of missiles in recent weeks to protest what it sees as a military build-up in South Korea, as well as joint military exercises by South Korean and American troops stationed on the peninsula.

The launches have complicated attempts to restart talks between U.S. and North Korean negotiators over the future of the country’s nuclear weapons and ballistic missile programmes, which prompted sanctions by the United Nations Security Council.



DW | Reuters
 
Siti ya tatu apa nikiangalia huu mtanage mwisho wake ni wapi
 
Ngoja Januari 2021 Kiduku atamshuhudia Trump wa ajabu hajawahi muona. Trump anavuta kasi ashinde Second term
 
Back
Top Bottom