KORA All Africa Music Award:What is not happening?

kipipili

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
1,590
183
nakumbuka enzi zake kina kofi olomide, defao, awilo walitamba sana kwenye tuzo hizo.lady jaydee aliwahi perform na wimbo wake wa machozi:nailazimisha furaha ingawa moyoni na majonzi nani wa kunifuta machozi.., was so great.nini kilitokea mpaka ikawa kimya?
 
Mkuu Jide hakuperform kwenye KORA jamani, ila aliperform kwenye usiku wa utangulizi wa shughuli rasmi.
Mmmhh sitaki kuizungumzia ile performance ya dada yetu ila doooo!
 
Mkuu Jide hakuperform kwenye KORA jamani, ila aliperform kwenye usiku wa utangulizi wa shughuli rasmi.
Mmmhh sitaki kuizungumzia ile performance ya dada yetu ila doooo!

Was it good or bad? I hope it was good, I think she is one of a few Tz artists that are worldly.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom