Koo zingine jamani zinabore

Lisa

JF-Expert Member
Aug 13, 2009
1,549
1,074
Ameolewa na ana watoto wawili , Mungu amempa watoto wakike 2.Lkn Kuanzia baba mkwe , mawifi , shemeji zake wanamlaumu kwa kuzaa watoto wakike, na kusema mwanamke gani anazaa watoto wakike tuu.wakamshauri mwanaume akaenda kuoa mke mwingine ambaye atamzalia mtoto wa kiume.Bahati mbaya huyo mwanamke alizaa mtoto wa kiume lkn tahahira.Na katika wale mawifi waliokuwa wanamlaumu mke wa kwanza wa kaka yao, naye ameolewa amezaa mtoto wa kiume lkn tahahira. sasa wanasema huyo mke wa kaka yao wa kwanza ndiye anayewaroga wanazaa watoto wa aina hiyo, jamani mshaurini maana ameshachoka , kipi bora aendelee kubaki kwenye ndoa hiyo ili alee watoto au Aondoke maana amelemewa na lawama.
 
bullshit

hao mawifi sijui wanga vile hawajui kama mtoto ni mtoto ..
afadhari vitoto vya kike huwa haviwatupi wazazi wao
 
bullshit

hao mawifi sijui wanga vile hawajui kama mtoto ni mtoto ..
afadhari vitoto vya kike huwa haviwatupi wazazi wao

eeh..vipi ndo za migo2 naona..ngoja nije na pesa kamili nana mkopo itakuwa ngumu
 
Ameolewa na ana watoto wawili , Mungu amempa watoto wakike 2.Lkn Kuanzia baba mkwe , mawifi , shemeji zake wanamlaumu kwa kuzaa watoto wakike, na kusema mwanamke gani anazaa watoto wakike tuu.wakamshauri mwanaume akaenda kuoa mke mwingine ambaye atamzalia mtoto wa kiume.Bahati mbaya huyo mwanamke alizaa mtoto wa kiume lkn tahahira(Mwenye mtindio wa ubongo).Na katika wale mawifi waliokuwa wanamlaumu mke wa kwanza wa kaka yao, naye ameolewa amezaa mtoto wa kiume lkn tahahira (Mwenye mtindio wa Ubongo) sasa wanasema huyo mke wa kaka yao wa kwanza ndiye anayewaroga wanazaa watoto wa aina hiyo, jamani mshaurini maana ameshachoka , kipi bora aendelee kubaki kwenye ndoa hiyo ili alee watoto au Aondoke maana amelemewa na lawama.

Hivi bado kuna jamii/koo/mtu asiyejua kuhusu utengenezwaji wa mtoto jamani? kwa nini lawama iende kwa mwanamke eti amezaa watoto wa kike tupu?

Hayo ya kusingiziwa amelogwa wala asiyasubirie hapo ndani yaaniw e mwanaume keshakuolewa mke mwingine bado umekaa unamsubiria? Pole aondoke tu akakae mbali asijedhuriea bure
 
Ni upuuuzi wa sisi waswahili.............
Ukiwa huna kazi husikiii ndugu wamesema lazima wakutafutie kazi.....
Ukiwa unaishi nyumba ya kupanga husikiii ndugu wamesema lazima ujenge yako.........

Lakini ukitaka kuoa wanakuja bila kualikwa kuleta vidomo domo vyao...

Nyinyi mnawadekeza hao ndugu.......

Mimi kwangu .......ndugu they can go to hell.............
 
Ni kweli kabisa maana walianza hawana kitu, Mwanamke ndiye alikuwa na kazi. akampa mwenzie ushauri wa kwenda kusoma alipomaliza chuo akapata kazi nzuri .wakajenga. hapo sasa ndipo maneno yalipoanza.Lkn alipokwa hana kitu mambo yalikuwa shwariiiii kabisa.
 
ni ujinga unaondelea hapo kwenye jamii hiyo
huyo dada achukue wanawe akaanze maisha upya watoto watamtafuta baba wakiwa wakubwa. mtoto ni mtoto ebo!!!!
 
bullshit

hao mawifi sijui wanga vile hawajui kama mtoto ni mtoto ..
afadhari vitoto vya kike huwa haviwatupi wazazi wao

You cna say that again and louder!!!! ni watoto wangapi wa kiume wansimama kuwapiga wazazi wao??? I dont even miss them! tabu tupu tu!
 
Ni upuuuzi wa sisi waswahili.............
Ukiwa huna kazi husikiii ndugu wamesema lazima wakutafutie kazi.....
Ukiwa unaishi nyumba ya kupanga husikiii ndugu wamesema lazima ujenge yako.........

Lakini ukitaka kuoa wanakuja bila kualikwa kuleta vidomo domo vyao...

Nyinyi mnawadekeza hao ndugu.......

Mimi kwangu .......ndugu they can go to hell.............
Thats why i like you Boss. Huo ndo ukweli wenyewe, ukitaka ndoa yako iharibike endekeza ndugu. pia tuelewe once you decide to get married its you and your wife katika shida na raha, sas hizi habari za ndugu zishanichosha mie masikioni mwangu.
 
Mi namshauri aende akaanze maisha mapya na wanae awasomeshe hadi hao wanaochonga wawapigie magoti siku moja. How i wish watu wangetambua thamani ya watoto wa kike!
 
Ni upuuuzi wa sisi waswahili.............
Ukiwa huna kazi husikiii ndugu wamesema lazima wakutafutie kazi.....
Ukiwa unaishi nyumba ya kupanga husikiii ndugu wamesema lazima ujenge yako.........

Lakini ukitaka kuoa wanakuja bila kualikwa kuleta vidomo domo vyao...

Nyinyi mnawadekeza hao ndugu.......

Mimi kwangu .......ndugu they can go to hell.............

Sisi waswahili sio wote majembe kihivyo. Ni upuuzi wa hao wapuuzi.
Haiwezekani dunia ya sasa mtu stil akawa na akili minus ka hiyo
Yeah, sometimz NDUGU can go to hell((
 
Mi namshauri aende akaanze maisha mapya na wanae awasomeshe hadi hao wanaochonga wawapigie magoti siku moja. How i wish watu wangetambua thamani ya watoto wa kike!

U ril so expensive, I love ma MAMA so much, she is so expensive to me.
 
Tena huyo jamaa anabahati sana kupata mtoto mwenye Utaahira wa akili ama laa aangelizoa lile GONJWA LETU huko nje sijui angefanyaje.
 
Ni kweli kabisa maana walianza hawana kitu, Mwanamke ndiye alikuwa na kazi. akampa mwenzie ushauri wa kwenda kusoma alipomaliza chuo akapata kazi nzuri .wakajenga. hapo sasa ndipo maneno yalipoanza.Lkn alipokwa hana kitu mambo yalikuwa shwariiiii kabisa.

Shwaini yake kabisa, na janaume lenyewe punguani, hivi linasahau lilikotoka linasikiliza stupidity ushauri na linafanya maamuzi ya kijinga ka walivyo ndugu zake mafala. Ndo maana anko wangu ashawahi kuwazaba vibao mama zangu wadogo kwa ajili ya ujinga ka huu. Kumbe alikuwa sahihi.
Huyo mwanamke mwerevu achukue hamsini zake, asijeletewa na magonjwa bure.
 
eeh..vipi ndo za migo2 naona..ngoja nije na pesa kamili nana mkopo itakuwa ngumu
Kaizer nilipatwa na hasira sana baada ya kusoma hiyo post hapo ,hao ndugu wangekuwa karibu ningewamwagia mchuzi wa maharage hapa kijiweni kwangu:)
 
Hivyo dunia ya leo mtu unachagua jinsia ya mtoto kweli? Kwanza huyo mwanaume wala hajaelimika, hajui kwamba mwanaume ndio chanzo cha jinsia ya mtoto.
Wanaume kama hawa wala sio wa kuishi nao, ilimradi ana kazi yake huyo mama bora tu amtimue na yeye ahakikishe anabaki kwenye hiyo nyumba waliojenga.
 
Yaani hao washirikina hawajagundua hayo matatizo ya taahira yapo katika genes zao wanamlaumu huyo mama tu.

Aanze mbele tu usawa huu, wanaweza hata kumfanya vibaya.
 
Huyo mwanaume mpuuzi tu unaushauriwa na mama/dada ili ujaribu/uoe mke mwingine haijakaa sawa.hiyo ..kuchukua mke mwingine lazima iwe ni uamuzi wako mwenyewe mpaka ushauriwe..hajakuwa huyo bado kinda! ...
 
Back
Top Bottom