Konyagi yatengeneza nembo maalum kutambua Jitihada, Weledi na Ujasiri wa Mwanamke

Sasa hiyo nembo wangeibandika kwenye kischana alafu faru joni wamuache kama alivoooooo anaheshma zake yule.
 
Ile nembo ya yule jamaa ihamie kwenye Double kick sasa konyagi tuwaachie kina dada na kina mama sasa...nasema uongo ndugu zangu?
 
Siku ya wanawake ni moja, zilizobaki ni za wanaume hivyo muwewatuliv katika kipind hich kigum cha kujimwambafy
 
Back
Top Bottom