Konyagi yaitwa Lusekelo kuvutia wanywaji

mtotowamamanjungu

JF-Expert Member
Oct 13, 2016
351
273
Noooma kweli..ile dunia ya mwisho
Imefika mwisho wake..
Leo nilikua mitaa ya kawe ukwamani, nikaingia duka moja ivi
mara akatokea teja mmoja akaja mpaka pale dirishani akauli
Oyaa mangi lusekelo ipo?
Muuzaji ...akauliza 'ndio nini?
Teja...leta lusekelo kubwa nikapate upako Mimi.
Muuzaji..ndio nin boss?
Teja..mshamba wewe Lusekelo ndio habari ya mjini
leta konyagi chupa kubwa
AF kesho tusisumbuane..
Uyooo akasepa zake.
Nilitamani kulia
Ikabidi nicheke tu...
 
Wee ulinunua nini
 
Sipati picha mtu anapokwenda kwa Mch. ''Baba mchungaji niombee niepukane na pepo la ulevi''
 
Noooma kweli..ile dunia ya mwisho
Imefika mwisho wake..
Leo nilikua mitaa ya kawe ukwamani, nikaingia duka moja ivi
mara akatokea teja mmoja akaja mpaka pale dirishani akauli
Oyaa mangi lusekelo ipo?
Muuzaji ...akauliza 'ndio nini?
Teja...leta lusekelo kubwa nikapate upako Mimi.
Muuzaji..ndio nin boss?
Teja..mshamba wewe Lusekelo ndio habari ya mjini
leta konyagi chupa kubwa
AF kesho tusisumbuane..
Uyooo akasepa zake.
Nilitamani kulia
Ikabidi nicheke tu...
Sasa kilichokufanya utamani kulia hapo ni nn?
 
Serikali haiwezi sema hapa ni kumkejeli mtumishi kweli au sheria ya makosa ya mitandao haimlindi mtumishi wetu!
 
Sasa kilichokufanya utamani kulia hapo ni nn?
Hapo kuna Machozi ya furaha!
Lusekelo ana scandal ya ulevi na matendo mengine ya mwili siku nyingi ila Mungu ameweka hadharani
Balaza na Makanisa ya Kipentecosite walisha toa msimamo siku nyingi
 
Alivokuw a yule waziri...wakawa wanasema ''KITWANGA''.....amekuwa huyu mchunga-nzi wanasema ''LUSEKELO":D:D:D:D:D:D
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom