Konyagi yaitwa Lusekelo kuvutia wanywaji

Sizinaitwaga konyagi spirity for more nazani waumini watazifakamia ili wapate upako wa spirity kama yeye" waumini walizani God spirity kumbe konyagi spirity"
 
Noooma kweli..ile dunia ya mwisho
Imefika mwisho wake..
Leo nilikua mitaa ya kawe ukwamani, nikaingia duka moja ivi
mara akatokea teja mmoja akaja mpaka pale dirishani akauli
Oyaa mangi lusekelo ipo?
Muuzaji ...akauliza 'ndio nini?
Teja...leta lusekelo kubwa nikapate upako Mimi.
Muuzaji..ndio nin boss?
Teja..mshamba wewe Lusekelo ndio habari ya mjini
leta konyagi chupa kubwa
AF kesho tusisumbuane..
Uyooo akasepa zake.
Nilitamani kulia
Ikabidi nicheke tu...
Hahahaha
 
Kumbukeni watoto wa Nuhu Hamu Shemu na Yafet mambo haya siyo ya kufanyia mzaha pole pole na mtumishi
 
Kumbukeni watoto wa Nuhu Hamu Shemu na Yafet mambo haya siyo ya kufanyia mzaha pole pole na mtumishi
wewe kweli fikra zako ziko wapi nani anafanya mzaa hapa kwani sisi ndiyo tulimnywesha pombe au kumtuma kutumia kilevi mzaa kaleta mwenyewe huyo mzee wenu
 
Noooma kweli..ile dunia ya mwisho
Imefika mwisho wake..
Leo nilikua mitaa ya kawe ukwamani, nikaingia duka moja ivi
mara akatokea teja mmoja akaja mpaka pale dirishani akauli
Oyaa mangi lusekelo ipo?
Muuzaji ...akauliza 'ndio nini?
Teja...leta lusekelo kubwa nikapate upako Mimi.
Muuzaji..ndio nin boss?
Teja..mshamba wewe Lusekelo ndio habari ya mjini
leta konyagi chupa kubwa
AF kesho tusisumbuane..
Uyooo akasepa zake.
Nilitamani kulia
Ikabidi nicheke tu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom