KONYAGI: Unywe ule upate kitambi, au usile kisha utie aibu

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,833
155,780
Watu wanajidanganya sana, eti konyagi inapunguza tumbo, ukweli ni kwamba konyagi inaleta njaa sana, kwa hiyo inakufanya ule mara kwa mara na hivyo kupelekea mnywaji kupata kitambi.
Wale wadada wanaojidanganya kupuza tumbo kwa konyagi wakae wakijua kuwa wakijinyima kula lazima wazime mazima.
 
Back
Top Bottom