Konyagi iko kwenye kundi lipi kati ya haya ya liquor

hivi busaa, mangure, chimpumu, pingu, wanzuki, zenyewe ni tequila au liquor?
 
Nakupa za ukweli achana na jamii ya Konyagi



  • · Utkins white rum
  • · Papagayo organic spiced rum
  • · Papagayo organic white rum
  • · Cruzan Rum
  • Four Bells Rum
  • · Havana Club rum
  • Montilla rum
  • · Ronrico rum
  • · Bacardi rum
  • · Bundaberg rum
  • · Cacique rum
  • · Captain Morgan rum
  • · Morgan's Spiced Rum
  • · Myer's rum
  • · Pampero rum

Mzee Mwenyewe Masa, shukrani kwa orodha

captain morgan na havana club zimesimama mkuu nazikubali

Sam nimeongeza kwenye orodha shukran
 
Nakupa za ukweli achana na jamii ya Konyagi



  • · Utkins white rum
  • · Papagayo organic spiced rum
  • · Papagayo organic white rum
  • · Cruzan Rum
  • Four Bells Rum
  • · Havana Club rum
  • Montilla rum
  • · Ronrico rum
  • · Bacardi rum
  • · Bundaberg rum
  • · Cacique rum
  • · Captain Morgan rum
  • · Morgan's Spiced Rum
  • · Myer's rum
  • · Pampero rum

captain morgan na havana club zimesimama mkuu nazikubali

hivi busaa, mangure, chimpumu, pingu, wanzuki, zenyewe ni tequila au liquor?

Preta wewe watumiaga ipi, Amarula?
 
Konyagi ni Gin kundi moja na Ballentines et.c Iligunduliwa TZ ila kwa ajili ya Tanzania Distilleries LTD kuwa owned na serikali inawezekana property rights kwa maana ya either patent(sijui kama alcoholic drinks ni patentable kwa sheria za BRELA sasa au Enzi hizo) or Trade Mark hazikumwezesha mgunduzi au kile kiwanda kuimiliki. Kwa upande mwingine inawezekana eneo ambalo hiyo haki miliki imesajaliwa (If at all imesajiliwa) haiingiliani na South Africa hivyo kufanya huyo mgunduzi feki au mrasimishaji wa konyagi kustahili hiyo tuzo. Vile vile inawezekana vigezo vya tuzo vinamhusu mzalishaji wa sasa na siyo mgunduzi. Kwa mfano Safari Lager ilipewa tuzo ya Africa juzi lakini mgunduzi kama sikosei ni mzee Shelukindo miaka ya 1977. So.....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom