Kontena za betri bandia zakamatwa(TIGER HEAD) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kontena za betri bandia zakamatwa(TIGER HEAD)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by major mkandala, Mar 22, 2010.

 1. m

  major mkandala Member

  #1
  Mar 22, 2010
  Joined: Mar 6, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  SHEHENA ya kontena 20 za betri aina ya Tiger Head kutoka China zimekamatwa kutokana na kukosa ubora na viwango vya matumizi ya bidhaa hiyo.Kontena hizo zimekamatwa katika operesheni ya Shirika la Viwango nchini (TBS) kayitka kukagua bnidhaa ziingiazo nchini ambazo hazina viwango vya matumizi.


  Mkurugenzi Mkuu wa TBS Charles Ekerege alisema shehena waliyokamata ya betri hizo ilifika nchini Januari mwaka huu, lakini walipozikagua wakagundua kuwa hazina ubora uliowekwa na shirika hilo.

  Alisema Betri hizo zinaingizwa nchini na wafanyabiashara wakubwa na wakati mwingine imedaiwa kuwa wanaziingiza kwa njia ya panya.

  Alisema betri hizo huingizwa nchini na huuzwa kwa bei ya rejereja shilingi 350 na zinazotengenezwa hapa nchi huuzwa kwa shuilingi 45o kila moja, na watanzania wengi hukimbilia betri hizo kutokana na unafuuu wa bei.
   
 2. Kabwela

  Kabwela Member

  #2
  Mar 24, 2010
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Angalau TBS mmeafanya walau jukumu lenu kidogo kwani tatizo la madini tembo (heavy metals) kwenye bidhaa zetu ni kubwa mno kuanzia rangi za majumbani na bidhaa nyingine hasa betri kwenye barala Afrika. Keep it up.
   
Loading...