commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,952
kwa mujibu radio ujerumani,idhaa ya kiswahili leo mchana.vipande mia saba vya meno ya tembo yenye thamani ya USD MILIONI MOJA vimekamatwa nchini malaysia vikiwa katika shehena ya kontena mbili wakati ikiwa njiani toka daresalaam tanzania kupelekwa nchini china.