kontena la CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kontena la CHADEMA

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by TwendeSasa, Oct 12, 2010.

 1. T

  TwendeSasa Senior Member

  #1
  Oct 12, 2010
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  jamani kuna ukweli wowote kuhusu kuzuiliwa bandarini kontena la chadema lenye KADI,TSHIRT,KOFIA NA BENDERA from China mana nimekuwa nikipita makao makuu kuhitaji baadhi ya vitu naambulia tetesi hizo
  kuna ukweli wowote na kama ni kweli kwanini wafanye hivyo
  Naomba mnisaidie mana inaniboa sana na kama umegiundua chadema hawagawi kadi kwenye mikutano kama mwanzo wa kampen
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  MOD wale jamaa wameanza tena !
   
 3. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu bonyeza kile kitufe
   
 4. T

  TwendeSasa Senior Member

  #4
  Oct 12, 2010
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mbona sielewi
   
Loading...