Kongosho na lizzy nawapenda kupita kiasi

napata picha sijui kwa nini watu wa marketing hawawatafuti!!! maana kuna watu ni femasi sana humu na siku wakifanya tangazo...litauza... watu kama kongosho, akitangaza gazeti la udaku atauza saaaaaaaaaaana!! katangaze dada yangu

Akatangaze:shock:!!!
 
Kongosho upo juu tena juu sana...demu kama lizzy ata ajitutumue vipi, anajua tu akufikii ata punje.
 
Kongosho upo juu tena juu sana...demu kama lizzy ata ajitutumue vipi, anajua tu akufikii ata punje.

Aliyekwambia nataka kumfikia ni nani?
Level yangu inajitegemea, nyie mnaohangaikia kumfikia huyu na yule mna mapungufu.
 
Lizzy na Kongosho, wanakubalika hata kwenye ofisi za lawyer.
acheni nikupeni m bichwa
 
Hehehehe. . .
Haya ngoja nikupepee!!

Si ndiyo utamchanganya kabisa!!!!!

Naona si bure dada Lizy kila kitu wewe, mara wanaume wa JF umewapa nini mara sijui unapendwa aiseeeeee.

Kweli huwezi kuliziba jua kwa ungo.
 
Lakini nasikia wana wivu sana hivyo siyo rahisi kukubali uke wenza kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeh!!!!!

Sasa sijui nani atakuwa nyumba kubwa na nani ndogo....
Ila Kongosho atakuwa nyumba kubwa na Lizy ndogo au watajipanga wao wenyewe
 
hawa watoto ni vifaa yaani visu, jamani hii ni lugha ya vijana wa siku hizi
 
acha uoga mtoto wa kiume.

sio uoga mkuu,mimi ni mtu mstaharabu na muungwana sana,ndio maana huwa naumia sana nikimkwaza mtu ata kama nimeongea ukweli kuhusu yeye..na hapa Jf naheshimika sana kwa michango yangu na members wote,ivo sina budi kumfariji muhanga.
 
Ndivyo inanvyotakiwa,wote hapa jamvini 2ngekua km ww ingekua poa sana.
 
sio uoga mkuu,mimi ni mtu mstaharabu na muungwana sana,ndio maana huwa naumia sana nikimkwaza mtu ata kama nimeongea ukweli kuhusu yeye..na hapa Jf naheshimika sana kwa michango yangu na members wote,ivo sina budi kumfariji muhanga.
Mstaharabu. . .
Muungwana. . .
Kwaza. . .
Ukweli. . .
Naheshimika. . .
Member wote. . .
Muhanga. . .
Really?

Soon you'll be diagnosed with DD.
 
Back
Top Bottom