Kongosho na lizzy nawapenda kupita kiasi

Uuh! Nahisi kama umependa me na ke vile !
Anyway endelea kwani upendo hauangalii jinsi,
 
mwali avatar yako ni swafi lakini ningeomba unionyeshe uso wote roho yangu itulie.............acha uchoyo na kutuficha uzuri wake........

avatar59556_4.gif

Na mie naunga mkono hoja! Mwali tupe yote!
 
Wana jf habari zenu natumaini hamjambo .jamani tangu niingie jf nafurahia sana raha ya humu, hata facebook nilishaipiga chini, muda wote niko jf maana napata uptade za maisha ,furaha na mapenzi kila muda . NDUGU zangu wanajf nawapenda wote wana jf lakini nawazimia sana lizzy na kongosho ,nikisoma post zao navuta hisia mpaka napata sura zao, sana sana napenda post zao najinsi walivyo active. Jamani wakuniponda uwanja wenu ila matusi hayaruhusiwa humu,na je munaonaje hizo machine mbili kongosho na lizzy

Mwali hujamdondokea?,Michelle je...
 
Nimepitia kamusi ya kiswahili bado sijaona maana tofauti na nayoijua.
Au kuna kamuzi mpya ya 2013 imetoka?

Sitasahau ile thread ya jamaa mmoja ambayo mi nilimuelewa ila yeye hakueleweka na wengi humu ndani.Ila ilikuwa hapo juu,HHM. Sijui wewe ungeelewa kama mimi au vipi. Maana thread within nusu saa ilikuwa na page 3 fasta...!

Aliweka hivi... Jamani leo nimenusurika kuliwa kwenye tiGO pesa...........
Watu kibao walikimbilia thread na kumwambia badilisha heading.. Sasa mimi bado nilikuwa sijelewa,hadi jamaa mmoja akasema,ye alidhani alivuliwa nguo na akavaa haraka na kukimbia baada kugundua kitu kinaingizwa kusiko. Yaani kila nikikumbuka nacheka mpaka machozi yananitoka.

Na jamaa mwenyewe alilazimika kubadili kwa shingo upande kwani aliona ni kama vile ujumbe wake utakuwa haukufika vema..
 
napata picha sijui kwa nini watu wa marketing hawawatafuti!!! maana kuna watu ni femasi sana humu na siku wakifanya tangazo...litauza... watu kama kongosho, akitangaza gazeti la udaku atauza saaaaaaaaaaana!! katangaze dada yangu
 
Back
Top Bottom