Nimekuwa nikisafiri na Ndege za AirTanzania kwa muda mrefu hapa nchini na hata nje ya nchi.
Unataka akupakulie chakula akuletee ukale na wanao? Bilashaka ni mhanga wa vyeti feki, mshahara hewa, madawa ya kulevya, deals za utakatishaji was fedha. Hayo ndo mlikuwa mnampendea Kikwete. Nchi ilibakia sekunde ihuzweHovyoooo! kwa lipi toka awe Rais sijanufaika kwa lolote nilokuwa nayapata enzi za JK ni yaleyale, yani jamii yangu yoteee hatuoni lolote we're still the same.
.
2020 nendeni nae gamboshi mkaloge sio Ikulu
Fastjet ilikuwa ni Low Budget Airline na ndiyo maana imeshindwa kwani operational costs ziko juu mno na ndiyo maana walishindwa.Kweli tatizo nauli zao si rafiki wajaribu ku adjust kidogo mbona wenzao fast jet walimudu kwa nauli rafiki ambapo wengi tulifaidika? Sasa ATCL mpaka mtu wa kawaida mnyonge na masikini wa Magufuli ukune kichwa sana kumudu nauli zao
Wanaofaidika na biashara ya anga ni makampuni ya kutengeneza ndege na si makampuni yanayonunua ndege kufanya biashara ya anga kwani makampuni mengi yanaripotiwa kuendeshwa kwa hasara tu.
Hivi ndoto za Magufuli ni ndoto za taifa, wananchi wa kawaida?Waungwana wa JF nawasalimu,
Nipo safarini kuelekea Kigoma kikazi. Hivi sasa tunatua Uwanja wa Ndege wa Tabora kwakuwa tunapitia hapa kwenda Kigoma. Tupo na Ndege TC 128 aina ya bombardier. Nalazimika kulipongeza Shirika letu la Ndege kwa kuimarisha huduma.
Nimekuwa nikisafiri na Ndege za AirTanzania kwa muda mrefu hapa nchini na hata nje ya nchi. Nikiri kuwa kwa safari za ndani ya nchi,huduma zimeimarika sana. Kuanzia Cabin Crew, Marubani na Watumishi wengine wa AirTanzania, ukarimu na umakini unatamalaki.
Kwa safari zangu za Kigoma kwa Ndege za kuelekea Burundi na kupitia Tabora, leo nimeshuhudia Ndege yetu ikibakiwa na siti tupu tatu tu. Ni jambo la kutia faraja na kuonyesha wananchi kuridhishwa na huduma za AirTanzania. Kongole sana kwenu AirTanzania!
Kuimarika kwa huduma za AirTanzania ni kuisimamia kwa vitendo ndoto ya Rais wetu Dr. John Pombe Magufuli aliyejitoa kwa uwezo na maarifa yake yote kuhakikisha AirTanzania inaimarika na kuwa nembo yetu kitaifa.
Najivunia AirTanzania, najivunia kuwa mtanzania!
Waungwana wa JF nawasalimu,

Hivi fastjet alikuwepo hapa Tanzania kwa miaka mingapi huku ATC akiwa hoi na hakuweza kutupa huduma zaidi ya kuchangua njia zenye abiria wengi tu Mwanza, Mbeya, Kilimanjaro? Wajinga ndio waliwao.
Wacha kiherehere Chadema inatoka wapi hapa?Chadema njooni haraka tupingeeeeee
Hahahaha ihuzwe ndio nini?Unataka akupakulie chakula akuletee ukale na wanao? Bilashaka ni mhanga wa vyeti feki, mshahara hewa, madawa ya kulevya, deals za utakatishaji was fedha. Hayo ndo mlikuwa mnampendea Kikwete. Nchi ilibakia sekunde ihuzwe
Mtu anayeweza kukana jinsia yake kwa kawaida haeleweki.Kwani Chadema sio wtanzania au sijakuelewa...?
Kabla ya miaka hiyo kumi je? Hujui kuna route ya India Mkuu?Hebu tueleze mwenzetu hizo safari za nje ya nchi na Air Tanzania ambazo umekuwa ukisafiri ni lini na kwenda wapi? Maana tunavyoelewa Air Tanzania hawajafanya safari za nje ya nchi kwa zaidi ya miaka kumi.
Labda alimaanisha wanacheza vizuri na tochi za askari wa usalama
Hahaha! Mkuu acha kunikoroganya kisheria. Ulitoa reasonable implication kwamba ulikuwa ukisafiri na Air Tanzania ndani na nje ya nchi kabla ya mageuzi ya ATC ya Raisi Magufuli, na hivyo ulikuwa ukifanya mlinganisho wa wakati huo na sasa! Kabla ya miaka hiyo kumi ulikuwa unasafiri kikazi kweli? Na kama ni safari za sasa za ATC kwenda India, basi huwezi ku-qualify kauli kuwa umekuwa ukisafiri kwenda nje na ATC "kwa muda mrefu". Angalia Mkuu, humu JF tupo watu makini katika kusoma statements.Kabla ya miaka hiyo kumi je? Hujui kuna route ya India Mkuu?
Eti toka aingie hujanufaika na chochote..Hovyoooo! kwa lipi toka awe Rais sijanufaika kwa lolote nilokuwa nayapata enzi za JK ni yaleyale, yani jamii yangu yoteee hatuoni lolote we're still the same.
.
2020 nendeni nae gamboshi mkaloge sio Ikulu
Naona kama afya za Wakereketwa wa CCM kwa sasa ni tofauti na enzi za JK, au macho yangu?