Kongo yaanza kufaidi matunda ya kujiunga jumuiya ya Afrika Mashariki barabara ya lami kujengwa kutoka Uganda hadi Goma kongo

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,904
Kongo yaanza kufaidi matunda ya kujiunga jumuiya ya Afrika Mashariki barabara ya lami kujengwa kutoka Uganda hadi Goma kongo baada ya kongo na Uganda kufikia makubaliano.

Wanajeshi wa Serikali ya Kongo (FRDC) watasimamia ujenzi kiulinzi eneo hilo lenye waasi ili kuhakikisha usalama wa ujenzi wake

Source:ITV
 
Back
Top Bottom