kongamano MUCCOBs aka ushirika jumamosi 21 of may(jumamosi hii ya unyakuo) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kongamano MUCCOBs aka ushirika jumamosi 21 of may(jumamosi hii ya unyakuo)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sweetlol, May 19, 2011.

 1. S

  Sweetlol Senior Member

  #1
  May 19, 2011
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kutakua na kongamano linalohusu miaka hamsini ya uhuru wa Tanzania na umasikini.Kongamano hili litafanyika chuon hapo ndani ya nyerere hall jumamosi saa mbili asubuhi.
  Kongamano hili litahudhuriwa na wanachuo wote wa kanda ya kaskazin.
  watoa mada kuna Mh Samweli sitta,Mh mwakyembe,prof.shifji wa ud,Prof chambo na mwl Mangasini.
  MADA
  Pro,shivji.why Tanzania is still poor 50yrs of independence.
  Hon.Samweli Sitta(MP)Leadership ethics in managing national resoursces.
  dr,Mwakyembe The role of youth in Tanzania economy.
  Mr.mangasin.Rulal and urban disparities in Tanzania,
  karibuni wadau.sikuiyo tutakuwepo pale.kama unaswali litume thru jf.then utapewa jibu.
   
Loading...