Kongamano la wanahabari Arusha kuhusu utalii

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
752
1,810
Wadau wa utalii Arusha walalamikia utitiri wa tozo mbalimbali kwenye vizuizi vilivyowekwa kwenye hifadhi mbalimbali wakati watalii wanataka kuingia kwenye hufadhi

Waongoza utalii nao walia na mitaala ya kufundishia, mikataba ya Ajira, pia serikali imewataka kulipia lesen za kazi zao ifikapo mapema mwakani.

Katibu mkuu wa waongoza utalii, Emanuel Mollel ameiomba serikali kuwapunguzia mzigo wa changamoto hizo, pia wamewatuhumu askari polisi kwa kuwafanyia ukaguzi wa mara kwa mara wanapokuwa na wageni barabarani,

Wametaka askari polisi wawapigie saruti watalii wanapowaona badala ya kuwapekuwa.

e46da1d45e04fba9f8d52b352be4dcfb.jpg
 
Back
Top Bottom