Kongamano la Viongozi wa baadae Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kongamano la Viongozi wa baadae Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kamundu, May 19, 2011.

 1. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,112
  Likes Received: 464
  Trophy Points: 180
  Bahati mbaya siko Tanzania kwa sasa lakini ningependa kurudi kuishi miaka michache ijayo. Mimi ninawazo.

  Je mnafikiriaje kama kungekuwa na kikundi cha Watanzania kuanzia 30 years mpaka 45 years kwa ajili ya kujadili nchi yetu ya baadaye bila kujali siasa ya mtu na hii ni kwa manufaa ya nchi. Mkutamo huo utafanyika kila miezi sita na kujadili kero na future ya nchi yetu kuanzia elimu, afya, uwekezaji, nishati, technologia. n.k. Topic zitakuwa zinaongelewa kwa wakati mfano mwanzo tunaweza kuuanza technolohgia na elimu. Lengo hasa ni kuongeza ushindani wa Tanzania kwa nchi nyingine, kuongeza uwekezaji na maendeleo ya jamii ya Tanzania. Siasa zimekuwa nyingi sana Tanzania na sioni mawazo ya makini kwenye Technologia, elimu na ukubwa/ufanisi wa serikali.Watanzania inabidi baadhi ya mambo tufikirie kama nchi na si makundi ili tuweze kushindana hii nchi itabadilishwa na sisi wenyewe. Mnaonaje hili???
   
 2. J

  Joblube JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  wazo zuri lenye kuhitaji strategy ya jinsi ya kuwafikia watu na namna ya kukutana na gharama zake. Fikiri zaidi katika haya na uje na mpango mkakati mzuri,
   
 3. k

  kilombero yetu JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,007
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Zamira yako c maandamano? Kwan paka uwepo ww?projekt hiyo inaweza kukulipa
   
Loading...