Kongamano la Uhuru UDSM Leo- Live Coverage

matasha

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
378
400
Napenda kuwakumbusha kuwa kutakuwa na kongamano la Uhuru leo pale ukumbi maarufu wa Nkrumah UDSM kuanzia saa saba na nusu. Tutazungumzia rasilimali zetu zinavyoweza kutumika vizuri kwa manufaa ya Watanzania. Karibuni sana. Kama hutaweza kufika basi fuatilia live ITV na Radio One:

Mbali na wasomi waliobobea pia wazungumzaji wengine watakuwa Dr Reginald Mengi, Mnyika na wawakilishi wa vyama vya siasa. Tutawaleta live JF
 
Mnafiki DR. Kitila asipewe mc maana ataharibu hali ya hewa, watu wana hamu nae. kumzomea kutokana na kukiri yeye Kitila ndio mhariri na mwandishi wa mpango wa usaliti aka uhaini.

Tupo pamoja!
 
Wasomi wasikengeuke lakini! waseme ule ukweli wenyewe wa hali ya tz kwa sasa!
 
Pia waziri wa nishati na madini atakuwepo

Usisahau kumuuliza umeme wa gesi ya mtwara tutegemee kuanza kuutumia lini? na je ni lini serikali itaruhusu watu/kampuni binafsi kuzarisha umeme ili tuondokane na ukiritimba wa TANESCO?.
 
Mnafiki DR. Kitila asipewe mc maana ataharibu hali ya hewa, watu wana hamu nae. kumzomea kutokana na kukiri yeye Kitila ndio mhariri na mwandishi wa mpango wa usaliti aka uhaini.

Tupo pamoja!

Acha kutumika dogo hueleweki mara watu wanahamu naye mara wasimpe mic.Uhaini?tokea lini cdm ni serikali namshangaa sana lissu hajui maana ya uhaini
 
Unayemuita dr.kitilya mnafiki,una tope kichwani,endelea kufanya siasa za kushikiwa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom