Kongamano la katiba mpyandani ya ubungo plaza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kongamano la katiba mpyandani ya ubungo plaza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TUNTEMEKE, Jul 20, 2011.

 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Kwa wanasiasa,wanaharakati na wadau mbalimbali wa secta zote hapa tanzania na kwingineko,mnakaribishwa katika kongamano la kujadili mwenendo wa kupatikana kwa katiba mpya ya jamuhuri ya muungano wa tanzania,
  ukumbi ni ndani ya ubungo plaza,
  siku ni tar.30/07/2011
  mda ni kuanzia saa nne asubuhi.
  Njoo tuseme,njoo tuitetee tanzania yetu.imeandaliwa na wanaharakati na watetezi wa haki za binadamu chuo kikuu cha dar es salaam kwa ushirikiano na umoja wa wanasheria tanzania
  .
   
 2. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tuko pamoja
   
Loading...