Kongamano la Katiba Mpya Liendelee: Mnyika achukue nafasi ya Mbowe

J Mnyika ni mtu smart sana. Ni output na muumini wa siasa safi za Dr. Slaa. Hawezi kufanya ujinga huu, tumsubiri tu mwenyekiti wetu akitoka korokoroni tuendeleze unyumbu.
Pia protocol haimruhusu...Makamu Mwenyekiti ndio KAZI zake hizi
 
Back
Top Bottom