Kongamano la Katiba mpya lafanyika Tarime kwa amani na utulivu

Siku zote kipimo cha ridhaa ya wananchi ni kura. Ajenda ya katiba mpya haikuwepo kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2020 na wananchi kwa mamilioni mengi wakaichagua ilani hiyo isiyo na ajenda ya katiba mpya.

Hivyo huhitaji akili kubwa kung'amua kuwa hili siyo ajenda ya wananchi. Sisi wananchi kwa sasa tunahitaji maji, afya, elimu bora, miundombinu ya uhakika na maisha bora.
Yaani ule uhuni aliyofanya Magufuli na vikaragosi vyake ndio unaita uchaguzi na ndio mnauchukulia kama kipimo cha kukubalika, ngojeni Mungu aitwe Mungu kwani kazi yake haina makosa.
 
Yaani ule uhuni aliyofanya Magufuli na vikaragosi vyake ndio unaita uchaguzi na ndio mnauchukulia kama kipimo cha kukubalika, ngojeni Mungu aitwe Mungu kwani kazi yake haina makosa.
Kazi ya Mungu haina makosa ndiyo maana ameniruhusu Mbowe awe gerezani kwa ugaidi aliofanya.
 
Siku zote tumesema humu na kurudia mara nyingi sana kwamba , HAKUNA MAHALI POPOTE KATIKA DUNIA HII AMBAPO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU , japo wapagani wametupuuza mara zote lakini ukweli huu hauwezi kupingwa .

Pamoja na RC wa Mara kumwaga majeshi yote barabarani na mitaani , ikiwa ni pamoja na kulinda ofisi ya Chadema Musoma Mjini kwa masaa yote, lakini Kongamano la Katiba Mpya limefana kupita maelezo huko Tarime , halafu hakuna amani yoyote iliyotoweka , ilikuwa mada juu ya mada , hawa wanaosema kongamano linavuruga amani ni WAONGO.

Ushahidi huu hapa

View attachment 1924002View attachment 1924001View attachment 1924000
Hawa makamanda Mungu awape Kheri maishani
 
Back
Top Bottom