Kongamano la BAVICHA taifa tar 09 Desemba,2013 Landmark hotel!

obama sererea

Senior Member
Mar 13, 2012
101
37
Baraza la vijana wa chadema (BAVICHA)- TAIFA, na CHASO DAR ES SAAm Linakualika kuhudhuria Kongamano kubwa la vijana mkoa wa Dar-es-salaam siku ya j'tatu th 9'Dec'2013. "UHURU DAY" kuanzia saa 03:00asubuhi LAND MARK HOTEL- UBUNGO,mgeni rasmi anatarajiwa kua Mh. Freeman Mbowe (M/kiti CHADEMA -Taifa) wageni wengine ni Mh. Mabere Malando (Makamo m/kiti kanda ya Pwani) na Mh. John Mnyika (MB Ubungo)- WAJULISHE WENGINE.pia kutakuwa na uzinduzi wa albam ya LILIAN WASIRI kwaheri ccm
 
Ninaamini litakuwa poa.,Je tutalipata live kwa namna yeyote???Kama sivyo mjitahidi tulipate hata kunako youtube bila kuchelewa.
 
Lazima nihudhurie. Pia Lissu atakuwepo pamoja na Mdee. CHADEMA ni tumaini letu sote.
 
J,tatu ni siku ya kazi Bavicha wengi hawana kazi nadhani watakuwepo.
 
Baraza la vijana wa chadema (BAVICHA)- TAIFA, na CHASO DAR ES SAAm Linakualika kuhudhuria Kongamano kubwa la vijana mkoa wa Dar-es-salaam siku ya j'tatu th 9'Dec'2013. "UHURU DAY" kuanzia saa 03:00asubuhi LAND MARK HOTEL- UBUNGO,mgeni rasmi anatarajiwa kua Mh. Freeman Mbowe (M/kiti CHADEMA -Taifa) wageni wengine ni Mh. Mabere Malando (Makamo m/kiti kanda ya Pwani) na Mh. John Mnyika (MB Ubungo)- WAJULISHE WENGINE.pia kutakuwa na uzinduzi wa albam ya LILIAN WASIRI kwaheri ccm
Chadema ya chumbani au ya sebuleni hii
 
“Sasa unaachaje kumsikiliza huyu na ukamsikiliza zaidi mtu ambaye hana sifa za kimageuzi katika ngazi ya kitaifa? Wanaozua tuhuma dhidi ya wenzao hawana hata miaka mitano ndani ya chama?
“Labda nikupe mfano mzuri. Hivi unategemea leo, CCM kwa mfano, eti akina Richard Tambwe Hizza, waanzishe mkakati wa kumng’oa kwenye chama mtu kama Kingunge Ngombale Mwiru kwa madai ni msaliti? Haya mambo yako CHADEMA tu,” alisema mwanasiasa huyo
 
CHADEMA ina hazina kubwa ya vijana,tukijikita kwenye sera maridadi,makini na zakisasa tutakuwa chachu ya mabadiliko katika nchi hii,naamini kwa hazina ambayo CHADEMA wanayo (rasilimali watu-VIJANA) uwezo wakuwa kama SOUTH AFRICA kwa miaka kumi tu inawezekana huku KENYA na wengine kwenye EAC wakibaki wakishangaa,vijana wakitanzania wana muamko mkubwa sana wa kiuchumi,kisiasa na kijamii,sasa tunaomba chama pendwa CHADEMA andaeni sera zitakazo wagusa vijana moja kwa moja kwa viwango vyote vya elimu,vijana tupo tayari kwa mabadiliko
 
Kwa kweli ni jambo jema sana kuwa na Kongamano lakini sana tatizo ni siku mliopanga na muda unawafanya muonekane hamna busara kabisa, na hata hekima mliyotumia iko tenge, haiwezekani muweke kongamano siku ambayo kuna maashimisho ya uhuru tena yanafanyika Dar Es Salaam tena ni mida hiyo hiyo ya asubuhi, ni kinyume na utashi wa mtu mwenye ueledi kufanya vitu bila kuangalia kitu anachokitangaza kina athari gani kwa walio wengi, ukweli ni kwamba watu watahudhuria wengi lakini sio busara, mimi maomba mpange siku nyingine ambayo haina shughuli za kitaifa. Naomba hapa nitoe mfano kwa wakiosoma Public Relations wanajua huwrzi kuandaa kongamono siku ambayo kuna tukio kingine kubwa kinafanyika, viongozi mnatakiwa muwepo kwenye maadhimisho ya siku ya uhuru kama kweli nyinyi ni wazalendo.
 
“Sasa unaachaje kumsikiliza huyu na ukamsikiliza zaidi mtu ambaye hana sifa za kimageuzi katika ngazi ya kitaifa? Wanaozua tuhuma dhidi ya wenzao hawana hata miaka mitano ndani ya chama?
“Labda nikupe mfano mzuri. Hivi unategemea leo, CCM kwa mfano, eti akina Richard Tambwe Hizza, waanzishe mkakati wa kumng’oa kwenye chama mtu kama Kingunge Ngombale Mwiru kwa madai ni msaliti? Haya mambo yako CHADEMA tu,” alisema mwanasiasa huyo

Inategemea, Chadema ni taasisi kuwa kwako ndani ya taasisi hakukupi mwanya wa kufanya usaliti, eti usadhibiwe kisa wewe ni mkongwe, hii ni taasis ya watanzania wote (Tanganyika na Zanzibar) ambayo inafadhiliwa na kodi za wananchi hawa.

Augustine Mrema, alimtimua Leo Herman Lwekamwa licha ya kuwa Lwekamwa ndiye aliyemkaribisha Mrema,.
 
Back
Top Bottom