Kongamano la amani: Wanenaji ni Askofu Kakobe, Askofu Malasusa na Sheikh Abdallah

Ukitaka kuwaudhi CCM we ongelea HAKI. Wao wanataka AMANI tu. HAKI wao haiwahusu.
Pamoja na uzee wake, kawazidi vijana wengi kuitambua AMANI iliyopo hapa Tanzania"
 

Attachments

  • Wanawake+Tz%2C+WEUSIi+na+WEUPE++wana+akili+kama+wanaume._+_point_right_type_5_Wanatambua+Watz+...mp4
    683.5 KB
Pia haki ni tunda la amani. Yakobo 3:17-18
TBC nao watarusha? Huu mchepuko wa Magufuli anaotembea nao kwapani. Basi maudhui ya kongamano yameshajulikana. Ni habari ya AMANI tu bila HAKI kuzungumzwa. Huo ni uzwazwa. AMANI ni tunda la HAKI. Bila HAKI hakuna AMANI. Hivyo kusikiliza hili kongamano njaa ni kukubali kupoteza muda.
 
Sijawahi kusikia kongamano au dua ya kuomba HAKI, nasikia tu amani, unafiq mbaya sana
 
Ina maana Kakobe nae hivi sasa keshaunga mkono juhudi?! Au baada ya maombi yake wakati ule kushindwa kuzuia umeme ku-flow, akaamua kutumia msemo wa "If you can't fight them, join them"?!
Mchawi tu, mnafiki na mzandiki
 
Kongamano kubwa la amani na maendeleo linafanyika leo katika ukumbi wa Golden Tulip jijini Dsm.

Mwezeshaji wa kongamano hilo ni askofu Gamanywa wa BCIC na wanenaji watakakuwa askofu Kakobe askofu Dr Malasusa na shehe Abdallah.

Kongamano hilo litarushwa mubashara na runinga za TBC, Channel ten na radio ya WAPO kuanzia saa 2:30 asubuhi.
Wote mnakaribishwa.

Source Shallom tv

Up dates;

Mwezeshaji wa kongamano askofu Gamanywa ameshafungua mjadala na sasa mwakilishi wa Katibu mkuu wa TEC Dr Kitima ambaye alikuwa atoe mada, ndio anazungumza.

Askofu Kakobe anasema uchaguzi huu Polisi wamekuwa soft sana kiasi cha kusukumwa na kukaa kimya hivyo amewasihi polisi kuangalia viashiria vya uvunjifu wa amani na kuchukua tahadhari.

Shekh Alhad Salum anasema Waislamu na Wakristo ni kitu kimoja na mama yake Yesu yaani Mariam ana sura yake kamili katika kitabu kitakatifu cha Quran inaitwa Surat Mariam

Askofu Malasusa amepingana na askofu Kakobe na amesema polisi hawako soft bali wanatumia hekima ili kuleta amani kwa watu wote

Maendeleo hayana vyama!
Yaani TBC imeharibika kabisa,Rioba upo?Ulikua unakwenda vizuri nani kakuloga,au na wwwe umewasaliti Watanzania?Baada ya Magu kufa sasa mmeamua ku-host vijumbe wa Shetani.Aibu sana.Hawa wamelipwa ili kupigia chapua mpango wa Ibilisi wa kuwaua wanadamu,asiyejua ni mjinga tu.
 
Back
Top Bottom