Kongamano la amani: Wanenaji ni Askofu Kakobe, Askofu Malasusa na Sheikh Abdallah

Kongamano kubwa la amani na maendeleo linafanyika leo katika ukumbi wa Golden Tulip jijini Dsm.

Mwezeshaji wa kongamano hilo ni askofu Gamanywa wa BCIC na wanenaji watakakuwa askofu Kakobe askofu Dr Malasusa na shehe Abdallah.

Kongamano hilo litarushwa mubashara na runinga za TBC, Channel ten na radio ya WAPO kuanzia saa 2:30 asubuhi.
Wote mnakaribishwa.

Source Shallom tv

Maendeleo hayana vyama!
This is NEVER MISS
 
Maaskofu wahuni, vibaraka, watetea uovu
 
Wasisahau kuwakumbusha watanzania hayo makanisa yao wakati yanaanzishwa yalionekana kama ni ya kichochezi na yanakashifu dini nyingine .
Gwamanya na Redio yake ya WAPO wakati wa awamu ya nne walikua masaa 24 wanaweka mijadala ya kukashifu Kikwete lakini hakuna aliyepotezwa .
Tena msemaji na mkosoaji mkubwa alikua ni Pasco.

Leo wameshatajirika wanasimama na matajiri wenzao walioko CCM.

Hivi wao wanaona kabisa kuwa ni haki Tume ya Uchaguzi inachofanya ?
Hawa jama wanasababisha watu waamini kuwa Hizi dini zilichakachuliwa kwa manufaa ya Wakoloni.

Hivi kumpoteza na kumuua binadamu mwenzako kwa sbabu tu anakosoa serikali ni sawa. Ni lini dunia ilikosa mkosoaji tangu kuumbwa?
Mungu mwenyewe alijikosoa aliumba mwanadamu akasema kuwa kila kitu ni chema lakini baadae akasema si vyema huyu mtu awe peke yake.
Alikosoa maamuzi yake mwenyewe.
Dunia haijawahi kukosa mkosoaji tangu enzi na enzi.
Sasa hatuwezi kukubali serikali iliyoingia madarakani kwa amani na kwa kura ikatae haki ya watu kupigia kura watu wengine.

Hofu yao ni nini kama wanaamini katika Mungu ?
Mtu aliyekimbiza korona anaogopaje kushindwa kwenye sanduku la kura?
Hivi amani itapoteaje kama kura zinahesabiwa kwa haki na kutangazwa kwa haki?

Kwa nini hao viongozi matajiri wa dini hawasimami kwenye Haki badala ya kuonekana wazi wazi wanasisimama na Chama cha mapinduzi .
Hivi Hawaoni kuwa huu ni wakati wa Kampeni na Mwenyekiti wa CCM anagombea pia ? Hivi ni kwa nini wanalazimisha kuwa atawale miaka kumi ?
Hivi hawaoni wazi kuwa miaka mitano aliyotawala inatosha kabisa kwa kazi aliyotumwa kuja kuifanya Tanzania?
Walioumizwa wameumizwa sana ,waliofaidika wamefaidika sasa wanataka nini tena kama sio kuilazimisha serikali kutumia nguvu ili apite tena kama sio Lisu kuwa na roho wa Ujasiri mkubwa mwaka huu uchaguzi ungekua ni mauaji matupu toka kwa vijana wa CCM waliokua wamejiandaa kuwamaliza wapinzani wote wenye ushawishi kwenye maeneo yao ili nchi irudi kwenye chama kimoja!!
Hiyo ndio tageti yao hao akina Kheri. Leo amaekuaja mtu kuokoa watoto wengi ambao wangebaki yatima kwa sababu tu kuna watu wanaamini kuwa CCM itatawala milele. Hivi Kakobe amesahau kuwa kanisa lake lilitaka kuvunjwa na Serikali hii hii ya CCM lakini wapenda haki walipiga kelele kumtetea na kwa sababu serikali ilikua ya Mpenda Domokrasia walikubali . Kakobe yeye alitetewa na wanaharakati wa haki za binadam na wapenda Demokrasia lakini yeye Watu wa Kimara wamevunjiwa nyumba kwa ukatili mkubwa na watoto wao walalala nje Hakujitokeza hata kumsihi Mh. Rais kuwa hao watu walipwe mana ni kodi za watanzania zinazotumika kuwalipa.

Yesu Mwana wa Mungu alitumwa kuja kuukomboa ulimwengu kwa miaka mitatu tuu akaondoka zake na kuwawaachia kazi inayofuata wanafunzi wake . Mungu hakushindwa kumwacha Yesu akae duniani milele ili alete maendeleo ya vitu .
Alikuja kuleta ukombozi na Uhuru wa watu toka kwenye vifungo vya shetani na kuwaonyesha njia ya kweli.

Kwa hiyo kila Mtu ana kipindi chake lakini kipindi hicho kinategemea na Mungu anataka Taifa liwe wapi katika kusimika utawala wa Haki. Haki ndio msingi wa kila kitu duniani.
Ndio maana kuna haki ya wanyama japo hawatumii mandege wala chochote kinachojengwa na binadamu zaidi ya haki yao ya asili
 
Kongamano kubwa la amani na maendeleo linafanyika leo katika ukumbi wa Golden Tulip jijini Dsm.

Mwezeshaji wa kongamano hilo ni askofu Gamanywa wa BCIC na wanenaji watakakuwa askofu Kakobe askofu Dr Malasusa na shehe Abdallah.

Kongamano hilo litarushwa mubashara na runinga za TBC, Channel ten na radio ya WAPO kuanzia saa 2:30 asubuhi.
Wote mnakaribishwa.

Source Shallom tv

Maendeleo hayana vyama!
I hope na yule M/Kiti wa amani Ndg. Sio Sheikh namwita Ndg. Al-Hadi Mussa atakuwepo ili kuzidi kutupa nguvu na sababu za kuipumzisha CCM na BAKWATA yake ... tafadhalj mwambieni asisahau ile dua yake ya dini mseto

#NI YEYE + PONDA 2020
 
Mbona Rashid Gwajimaa Hayupo
Na Yule Jamaa Alhad Nitaomba Kwa Jina Yesu Na Mohammed
Naye Atakuwepo 😁😂😀😅😄😄😏😄🤣🤣😂
 
Kongamano kubwa la amani na maendeleo linafanyika leo katika ukumbi wa Golden Tulip jijini Dsm.

Mwezeshaji wa kongamano hilo ni askofu Gamanywa wa BCIC na wanenaji watakakuwa askofu Kakobe askofu Dr Malasusa na shehe Abdallah.

Kongamano hilo litarushwa mubashara na runinga za TBC, Channel ten na radio ya WAPO kuanzia saa 2:30 asubuhi.
Wote mnakaribishwa.

Source Shallom tv

Maendeleo hayana vyama!
Wameshaanza ule wazimu wao tena.
 
Hiv bro...nikuulize kitu...kwa kunongoneza lakini

"Hiv kabisa unahis lissu atashinda"???...kwa akil yako timamu kabisa yan...ukikaa kama mtu mzima na ukafkiria. Kweli lissu atashinda mkuu?...heb tuambizane ukwel.....usiongee kwa saut kubwa lakin...mdogomdogo
Lakini kweli ndugu unavyo sema....maana kila niki fosi kichwani ...ngoma inasema magu mshindi

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Kongamano kubwa la amani na maendeleo linafanyika leo katika ukumbi wa Golden Tulip jijini Dsm.

Mwezeshaji wa kongamano hilo ni askofu Gamanywa wa BCIC na wanenaji watakakuwa askofu Kakobe askofu Dr Malasusa na shehe Abdallah.

Kongamano hilo litarushwa mubashara na runinga za TBC, Channel ten na radio ya WAPO kuanzia saa 2:30 asubuhi.
Wote mnakaribishwa.

Source Shallom tv

Maendeleo hayana vyama!
Hilo ni kongamano la wafanyabiashara wa dini. Hakuna mtumishi kweli wa Mungu hapo.

Na waambie wajiandae kitubu baada ya Lissu kutangazwa kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania.
 
Kongamano kubwa la amani na maendeleo linafanyika leo katika ukumbi wa Golden Tulip jijini Dsm.

Mwezeshaji wa kongamano hilo ni askofu Gamanywa wa BCIC na wanenaji watakakuwa askofu Kakobe askofu Dr Malasusa na shehe Abdallah.

Kongamano hilo litarushwa mubashara na runinga za TBC, Channel ten na radio ya WAPO kuanzia saa 2:30 asubuhi.
Wote mnakaribishwa.

Source Shallom tv

Maendeleo hayana vyama!
Hakuna kitu hapo! Mbona Nabii Josephat Mwingira hawakumkaribisha? ili hiyo "debate" iwe na afya?
 
Kwanini hayo maombi wasiyafanye kila dhehebu na sehemu yake,yaani dua ya Muislamu na Askofu zinachanganywa sehemu hakuna kitu kama icho,Halafu dua za siri ndio zenye kukubaliwa zaidi kuliko icho wanachokifanya
 
Kongamano kubwa la amani na maendeleo linafanyika leo katika ukumbi wa Golden Tulip jijini Dsm.

Mwezeshaji wa kongamano hilo ni askofu Gamanywa wa BCIC na wanenaji watakakuwa askofu Kakobe askofu Dr Malasusa na shehe Abdallah.

Kongamano hilo litarushwa mubashara na runinga za TBC, Channel ten na radio ya WAPO kuanzia saa 2:30 asubuhi.
Wote mnakaribishwa.

Source Shallom tv

Maendeleo hayana vyama!
Uchafu najisi
 
Kongamano la amani bila haki halisaidii nchi.
 
Back
Top Bottom