Kongamano la akina Butiku na wenzie - kijiwe cha malalamiko

Tatizo la akina Butiku wanadhani Nyerere Foundation ni kuhutubia maadili ya mwalim tu, hapana, they have to go further.

Mfano, ile foundation ingekua hata inatoa scholrships hata tano kwa elim ya juu Tanzania kuna tatizo gani?

Foundation ingekua inaandaa makongamano ya ukimwi, kansa, na hata haya mauaji ya albino, kuna tatizo gani?

Foundation inauwezao wa kutafta funds si lazima itegeemee 100 percent serikalini, kama kuna watu tu huko edinberg wameweza kuomba Mwali Nyerere scholarships kuwa offered, kwanini akina Salim washindwe?

Kuna mambo mengi jamaa wanatakiwa kufanya, lakini tatizo lao wao wanadhani kazi yao ni kuikosoa tu serikali. Sisemi kuwa serikali isikosolewe, hapana, nachojaribu kusema jamaa hawaitendei haki na hawafanyi kazi ipasavyo Mwalim Nyerere Foumdation. KIMEKUWA KAMA KIJIWE CHA MAJUNGU, ni kweli kabisa au ni KAMA ANOTHER POLITICAL PARTY.
kwa matusi haya nani atawapa hela, JK hawezi kuwapa hela watu ambao anahisi bado wanakitaka cheo chake
 
kwa matusi haya nani atawapa hela, JK hawezi kuwapa hela watu ambao anahisi bado wanakitaka cheo chake
Alianza kuwanyima Mkapa kwakuwa walionyesha kupendelea aina fulani ya watu badala ya kuwa neutral nafikiri waangalie the "what foundation wants to achieve" siyo siasa ambayo ingefanywa vizuri na wanasiasa wetu wa vyama vya upinzani..
 
Ndg Maligwe-Umeinga mtandaoni Nov-2009 kwA kutumwa na mafisadi?
Kawambie walikutuma ujumbe na mawazo yako ni finyu unalipwa....?
 
Back
Top Bottom