Kongamano kuuubwaa mjini TANGA LEO tar 3/4

Status
Not open for further replies.

Kivia

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
278
32
Haya leo tena kutakuwa na kongamano la kitaifa mjini tanga viwanja vya TANGAMANO KUANZIA SAA MBILI ASUBUHI HADI SAA SITA. Mada athari za mfumo kiristo TZ, HARAKATI ZA UHURU TZ, katiba mpya nk. Masheikh wote maarufu watakuwepo, PIA LITARUSHWA LIVE KUPITIA RADIO IMAAN ambayo inasikika nchi nzima. Nyote mwakaribishwa tuwe pamoja kupambana na mfumo huu wa kibaguzi tz hadi tuutokomeze.
 
wapuuzi nyie. seems hamna kazi za kufanya. badala ya kujiendeleza mnang'ang'ania mifumo iwabebe, hup ni upumbafu!
 
Pia muwasalimie pale Kisosora, majani mapana, barabara tisa na muwaambie wapunguze ngono kwani ukimwi utatumaliza
 
Du, saa mbili asubuhi uwanjani!?. Umenikumbusha mbali enzi za sinema za dezo hapo Tangamano ili ilikuwa ni jioni, siku hizi kumbe mikusanyiko tangu asubuhi!.
Kongamano jema!
 
mnapigano dhd ya mifumo ipi?wapelekeni waumini wenu darasani kwanza..dini inachambua habari za ufalme(utawala wangu si wa dunia hii bali...) mambo ya dunia ni elimu dunia (watu wangu wanakufa kwa kukosa maharifa...)
 
Haya leo tena kutakuwa na kongamano la kitaifa mjini tanga viwanja vya TANGAMANO KUANZIA SAA MBILI ASUBUHI HADI SAA SITA. Mada athari za mfumo kiristo TZ, HARAKATI ZA UHURU TZ, katiba mpya nk. Masheikh wote maarufu watakuwepo, PIA LITARUSHWA LIVE KUPITIA RADIO IMAAN ambayo inasikika nchi nzima. Nyote mwakaribishwa tuwe pamoja kupambana na mfumo huu wa kibaguzi tz hadi tuutokomeze.

Vipi mada ya ilimu akhera kufundishwa mashuleni itatolewa na shehe gani?
 
Mtakalia hayo hadi kifo chenu nchi hii haiundwi na wananchi wa Dini Moja kuna Dini na madhehebu Mengi na kila mwananchi yu huru kuabudu apendako Kuna mambo ya mcngi yanayoikabili nchi kama KATIBA, HALI DUNI NA UGUMU WA MAISHA KWA WATANZANIA Ndivyo v2 vya mcngi kwa wakati huu. Maana hamkawii mara kumpinga m2 mweupe kumvamia Gadaf mara hooo huuu 2fikirie kizazi kilichopo na kijacho wataishi vp ikiwa wachache hawajui kuna maisha magumu nchi hii?
 
hawa ndugu zangu hawa wana mawazo ya ajabu sana....yaani mambo wanayojadili hayana tija hata kidogo.....
 
Nadhani viongozi wao wanatafuta jinsi ya kuficha udhaifu wao, wanatafuta mtu wa kumsingizia wao kutokuwa na maendeleo.
 
Ndugu zangu waislaim, naona kama munapoteza tu muda wenu kwani hicho kitu munacho kijadili hakina tija kwa ujenzi wa nchi hata kwenu. Msisitizo wa elimu ni muhumu sana kwa future yenu. Nina hakika mwisho wa siku mutakuja jua kumbe adui wa muislam ni muislam mwenyewe, Poleni sana
 
Kongamano jema, lakn mtoe mada ni jinsi gani mtawaendeleza vijana wa kiislamu kielimu na pia itolewe mada ya kuboresha Chuo Kikuu cha Kiislamu kilichopo Morogoro ili kiweze saidia vijana wa kiislamu.
 
Nadhani hamna haja ya kutukana na kuonyesha dharau, waacheni. Ni wazi grievances za jamii ya kiislamu ni tofauti na wakristo. Munasisitiza mara kwa mara kuwa hawakusoma n.k Unategemea watakuwa na mahitaji sawa na nyie "mliosoma" ? Mbona nyinyi maandamano yenu hakuna anayewadharau ? Waislamu hawahitaji kufundishwa nanyi mahitaji yao!
 
mnapigano dhd ya mifumo ipi?wapelekeni waumini wenu darasani kwanza..dini inachambua habari za ufalme(utawala wangu si wa dunia hii bali...) mambo ya dunia ni elimu dunia (watu wangu wanakufa kwa kukosa maharifa...)

Duhhh kumbe mko wengi, hiyo mifumo unayoiuliza ni pamoja na mifumo yote iliyojengeka na kuaminika kuwa hao wanaopiga vita mfumo kristo nchini hawajaenda shule, na kuwa wanataka wapendelewe tu. Ndugu zangu tubadilike, badala ya kuwalaumu na kuwadharau hebu tuyaangalie madai yao na tuyafanyie uchunguzi je yana ukweli kiasi gani?? Hivi kweli inaingia akilini mtu kudai kuwa waislamu waliopo leo hii hawajaenda shule????? Nafikiri atabisha tu mtu ambaye anapenda kubisha. Tuyafanyie uchunguzi hayo madai yao yafanyiwe kazi.
 
Ndg zangu kwa nin mambo ya dini humu,kujadl mfumo kristo? Hv tz kuna mfumo wa kidin! Harakat za uhuru what for? Mod tafadhal ondoa hii kero wasiendelee kuchochea udin humu.
 
wapuuzi nyie. seems hamna kazi za kufanya. badala ya kujiendeleza mnang'ang'ania mifumo iwabebe, hup ni upumbafu!

Aaah Usweeeeeeeee sijawahi ona Mpuuuuuuuuuzi humu Jf kama wewe ndio maana hata mtindio wako wa ubongo katika kupokea taarifa una matatizo. kama umeona mwaliko haukuhusu kwanini unajishaua na kuuitikia kwa matusi. Ivi ulinyonya maziwa ya mama yako au ya Kopo? maana kama ya kopo au ulikuwa unanyonyeshwa ya ng'ombe basi na akili zako zitakuwa style hiyohiyo. pole sana.
 
Ndg zangu kwa nin mambo ya dini humu,kujadl mfumo kristo? Hv tz kuna mfumo wa kidin! Harakat za uhuru what for? Mod tafadhal ondoa hii kero wasiendelee kuchochea udin humu.

hakuna anayechochea wanaelimsha jamii na reference zingine za kuelezea mfumo huo mbona zimeandikwa na mapadri wenyewe? sasa ungewalaumu wale mapadre walioandika vitabu kuelezea mfumo kristo. Data zote zipo wala usidhani watu wanaongea kibubusa. haki sawa kwa dini zote lazima upiganiwe.
 
hawa ndugu zangu hawa wana mawazo ya ajabu sana....yaani mambo wanayojadili hayana tija hata kidogo.....

hayana tija kwako kwa sababu ni kibaraka wa mfumo kristo. Mawazo yao ya ajabu ni kwa vile wanachokisema ni cha kweli na kitabomoa mfumo wako ulioukumbatia. Mambo wanayojadiri waislam hayawezi kuwa na tija kwako wewe kwani hayakuhusu yanawahusu wenyewe.
 
Hiyo redio si waifunge tu, huu ni upuuzi wa hali ya juu, huwa yanaanza pole pole baada ya muda tutaanza kushikiana mapanga sasa!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom