kongamano juu ya katiba mpya kikao cha 2 nchini zanzibar...sauti : 05-march-2011

GHIBUU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
4,432
3,006

Attachments

  • 1963-UN-Zanzibar.jpg
    1963-UN-Zanzibar.jpg
    13.3 KB · Views: 38
NAONA WANAJADIRI MAMBO YANAYOHUSU MASLAHI HAYO TU. NDIYO MAANA WANAZUNGUMZIA HATI YA MUUNGANO NA MAHUSIANO YAKE NA KATIBA YETU. HAWAANGALII MAMBO MENGINE YA MSINGI KWA TAIFA LETU.:rain:
 
NAONA WANAJADIRI MAMBO YANAYOHUSU MASLAHI HAYO TU. NDIYO MAANA WANAZUNGUMZIA HATI YA MUUNGANO NA MAHUSIANO YAKE NA KATIBA YETU. HAWAANGALII MAMBO MENGINE YA MSINGI KWA TAIFA LETU.:rain:

Kila Muwamba Ngoma Huvutia Kwake:wink2:
 
NAONA WANAJADIRI MAMBO YANAYOHUSU MASLAHI HAYO TU. NDIYO MAANA WANAZUNGUMZIA HATI YA MUUNGANO NA MAHUSIANO YAKE NA KATIBA YETU. HAWAANGALII MAMBO MENGINE YA MSINGI KWA TAIFA LETU.:rain:

Hatuwezi kujadili katiba ya muungano wakati muungano wenyewe una makasoro toka mwaka 1964,hebu sikiliza hilo kongamano vizuri wanasheria hao na mmoja wao ni kutoka tanganyika kama utamjua kwa kumsikiliza na kaongea vitu vya ukweli kabisa.

Ikiwa tanganyika/tanzania kwa jina jengine la usanii munataka tujadili katiba kwanza nafikiri tujadili muungano,wazanzibar wanalalamika kuwa muungano hauna manufaa,watanganyika wanasema kuwa zanzibar ndio inayo faidika jee kivipi ? hebu sikilizeni wanasheria hao tusiropokwe tu...

Baadae ndio tujadili katiba...
 
Ni vizuri tujadili hiyo katiba mpya ila tusifanye makosa tukarudisha kasoro zilizopo kwa sasa.Ni muhimu kila upande ukubaliane na katiba mpya kwa kutoa maoni.Bila shaka kupitia katiba mpya tutajenga Tanzania mpya na yenye matumaini.:A S 13:
 
Back
Top Bottom