Kondomu zimeadimika, nini tatizo?

Nakumbuka hizi condom zilikuwa zimetapakaa kote katika sehemu za wazi kla mtu anachukua bure. Sasa hivi ni "almas" maana hazipatikani na zikipatikana ni bei kubwa -- a pack of 3 per 1,000

Kulikoni? Au kwa Msaada wa watu wa Marekani ilisitishwa? na kama ni hivyo kwanini walisitisha?
Mkuu ni vita vya Ukraine na Urusi ndiyo sababu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom