Kondomu Yakutwa Ndani ya Soda Dar

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,385
1131.jpg

Kondomu iliyopasuliwa imekutwa ndani ya chupa ya soda wakati mteja akijiandaa kuifungua kutuliza kiu yake jijini Dar

1130.jpg

Kondomu iliyopasuliwa imekutwa ndani ya chupa ya soda wakati mteja akijiandaa kuifungua kutuliza kiu yake jijini Dar es Salaam.
1129.jpg

1128.jpg

Wewe mfanyakazi au mfanyabishara wa kampuni gani ya soda?
Siipendi
 
I think hii ni janja ya wafanyabiashara maana hakuna uhusiano kabisa
 
Dah, jamaa kaua ndege wawili kwa jiwe moja!! yaani kununua soda unapata na zana!!! tena tayari iko ndani ya kinywaji??? upate bahati gani tena wewe???Just kidding, that is an issue ni lazima kuwepo na ufuatiliaji mkubwa na wa karibu!!! Binafsi nilishakuta uchafu mwingi sana kwenye soda fulani hivi pale UDSM mwaka 2005
 
kwenye bia hakuna vitu akama hivi :smile-big:

yah kwenye bia kunakuwa hakuna vitu kama hivi kunakuwaga na vimende vya hapa na pale na kama ukiwa umeshadevera sio rahisi kuving'amua
 
hiyo ni ishu....bonite wameshatoa tamko?

Dada Preta bonite ipo shirimatunda kama unaelekea mabogini,huko kwetu na inasambaza soda mikoa inayopakana na k'njaro tu,huku dar kuna cocacola kwanza kipo mikocheni industrial area.
 
Huyu Jamaa mie ninamfahamu...alikuwa akihudumia bar ya Face to Face karibu na Break Point.... Sasa hivi yupo kwenye Bar ya Roosevelt pale Mbezi Beach.... Sasa sjui hiyo soda imepatikana bar gani na ni nani anayo kwa sasa ili tuanza kuandaa lawsuit na claims maana hawa watu wenye viwanda wanahatarisha maisha ya viumbe hai
 
haijalishi.....
 
sina hakika kama hii habari ya kweli, inwewzekana kuna mbinu chafu za ushindani wa kibiashara. habari nyeti kama hii tungekuwa tumeshaisikia kwenye vyombo vya habari......
 
Back
Top Bottom