Kondom sio kinga ya UKIMWI? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kondom sio kinga ya UKIMWI?

Discussion in 'JF Doctor' started by Gudboy, Oct 7, 2009.

 1. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Kondom sio kinga ya Ukimwi tujitahadhari wabongo tutakwisha


  Virusi vya HIV hupenya

  wabongo wenzangu baada ya kimya kirefu kwenye group nimerudi kwa kuchangia maoni na mnaonaje haya niliyowaletea

  Wananchi wengi wataendelea kuteketea kwa ukimwi kutokana na dhana potofu waliyo nayo kwamba kondomu ni jawabu katika kuzuia ukimwi.

  Taarifa ya Shirika la Viwango nchini (TBS) iliyotolewa hivi karibuni na kunukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari imewaonya wananchi waepukane na dhana kwamba kondomu zitawanusuru kuambukikizwa ukimwi.

  Kwa mujibu wa Taarifa hiyo iliyonukuliwa na gazeti moja la kila wiki katika toleo lake la Alhamisi Novemba 19; ukimwi umekuwa ukikua kwa kasi kubwa sana hapa nchini ambapo zaidi ya Watanzania milioni moja unusu (milioni 1.5) wamesha ambukizwa virusi hivyo. Kasi hiyo ya kuongezeka kwa ukimwi imekuwa ikienda sambamba na ongezeko la matumizi ya "Salama" kondom na nyinginezo.

  Likinukuu taarifa ya T.B.S. gazeti hilo limesema kwamba, "ni rahisi kwa

  kirusi cha ukimwi kupenya katika kondomu kwa sababu katika darubini za kawaida kondomu zinaonyesha kuwa na matundu ambayo ni makubwa zaidi ya mara 50 ya ukubwa wa kirusi cha ukimwi ambacho hakiwezi kuonekana kwa darubini hiyo hiyo. Mfano wake ni kama mtegemea mchanga usipite kwenye "wiremesh" (waya wa kashata wa dirisha).

  Aidha, taarifa hiyo imeeleza kwamba ukimwi nchini Uganda unapungua kwa wananchi kubadili tabia za uasherati wakati Tanzania kipaumbele kimekuwa katika matumizi ya kondomu.

  Toka kampeni za matumizi ya kondomu kama kinga ya ukimwi zilipoanza gazeti hili limekuwa likiwatahadharisha wananchi kwamba kondomu si kinga ya ukiwmi kwa sababu; kwanza virusi vya HIV ni vidogo sana kiasi kwamba vinaweza kupenya kwenye matundu ya kondomu. Pili, yaweza kupasuka na tatu kuvuja (spillage),

  Aidha, tumekuwa tukisisitiza kwamba upo utapeli unaofanyika katika biashara ya kondomu ambapo wananchi hupewa taarifa za uongo.

  Kwa tamaa ya kuzoa mapesa wafanya biashara wamekuwa wakiwahadaa watu kwamba waweza kumchezea mamba au simba mwenye njaa na wakawa salama ilimradi wana "Salama kondomu" mkononi. Dhana hii ilipotiliwa nguvu na viongozi wa Serikali pamoja na vyombo vya habari soko likazidi kukua.

  Kwa kipindi cha zaidi ya miaka mitano ambapo gazeti hili limekuwa likizungumzia hoja hizi na kuonekana wa 1947; ni roho ngapi zimeteketea kwa kufuata dhana potofu ya uzinzi salama.

  Nani atalipa gharama na fidia ya hasara iliyotokana na kampeni za awali?
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mimi binafsi sina imani na hiyo kitu since when ilipoanza!
  I feel a sence of no confidence when attempt to wear it, na mshipa unakufa palepale!
  Achaneni nayo bana, its just putting you into more, and unplanned risks.
  Fanya njia zingine zilizobaki!
   
 3. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  kaka nakubaliana na wewe 100% maana condom zimeletwa ili zituletee madhara, kwanza kwa uchunguzi wangu asilimia kubwa ya watu hawatumii kondom hata kidogo au kama atatumia basi ataivua katikati, maana hazilete msisimko kabisa katika mapenzi, zinasababisha mtu kukosa uhuru eti hadi uvae saa ngapi itakua inakungoja wewe uvae, condom ni matatizo jamani
   
 4. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2009
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Hata mi nakubaliana na wachangiaji na mwanzilishi wa hii mada. Swali ni je 22mie njia gani sasa. Kweli vijana wengi bongo wapo(tupo) polluted. Dunia sasa nikama kamji flan(globalization). Vishawishi internet'ini, magazetini. Mitaani vibinti bado vibichi vinajiachia uchiuchi. Matamanio kibao. Vichaa 2 ambao hawa'simamishi' ndo wata-survive.
  Nisingependa sikia eti kua mwaminifu kwa mpenz 1. 2sidanganyane hii kwa bongo kwe2 hai-work. Labda 2badili mitazamo na mila ze2. Hapa namaanisha wazazi we2 wa2kubalie kuwaonyesha girlfriend/boyfriend zetu tukisha balehe. Kama wazungu wafanyavyo. Mapenzi isiwe siri kama 2fanyavyo.
  Hii iwahusu wale ambao hawataweza jizuia.
  Kwa wale wenzangu na mi 2naofuata dini, basi 2vumilie mpaka 2takapooa.
  Hayo ni maono yangu.
  Mwisho kabisa naomba uliza. Hivi Uganda wao hu2mia njia gani. Coz walikua-worse sana Ukimwi-wise but siku hizi wako juu sana ktk ukanda huu wa E.Africa?!
   
 5. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Masanilo where are you?
   
 6. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Ni kweli condom haizuii ukimwi 100%, lakini kitu gani kiko 100% efficient?

  Kama kutahiriwa tu kunaweza kupunguza maambukizi ya ukimwi kwa 30%, kuvaa condom si itakuwa zaidi?

  Katika ulimwengu ambao watu ni lazima wafanye tendo hili, na abstinence and fidelity are some lofty but practically unattainable ideals on the larger scale, mnawapa watu alternative gani inayokinga ukimwi zaidi ya condom?

  There is nothing sure in this world (including this very statement), there is nothing pure in this world. We can't even make a perfect vacuum, how dare you expect a perfect condom?

  For all we know you can get HIV from a dentist' procedure, or at your local barber.So should people stop going to dentists and barbers?
   
 7. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  haizuii ukiwmi kwa asilimia 100 lakini pia inakinga ukimwi na imesaidia kupunguza idadi ya waathirika.sio kwa vile haikingi kwa asilimia 100 ukaona ni bora kutovaa kabisa unajidanganya na utakwenda na maji.kinga nzuri kabisa ni kuwa na mpenzi mmoja na pia nendeni mkapime na muwe waaminifu.
   
 8. Sophist

  Sophist JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2009
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 3,081
  Likes Received: 1,728
  Trophy Points: 280
  It is the world of counterfeits;
  counterfeit condoms
  counterfeit TBS
  counterfeit TBS staff
  counterfeit newspapers
  counterfeit journalists
  counterfeit Thread: je!!!!!!!Kondom sio kinga ya ukimwi
  counterfeit everything; politicians and political leadership inclusive.
  take care of your self, period!
   
 9. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  haya mawazo yenu yanahitajika, je nini kifanyike, maana condom ndo hivyo tena haziaminiki
   
 10. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Mimi 100% huwa siamini kama condoms zinazuia ukimwi, ila mimba kweli zinazuia.
  Hivyo watu msiziamini hizi, cha msingi ukipata mpenzi nendeni mkapime mkikuta mpo salama kila mmoja awe mwaminifu kwa mwenzake.
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,488
  Trophy Points: 280
  Acha masihara bandugu. Kwangu mimi kondom ni mkombozi wa maisha yangu. Nilikuwa namegana na mshosti mmoja kwa almost mwaka. Ilifika kipindi nikawa nataka kumega live lakini mshosti akanikatalia akisingizia eti ana mtoto anamnyonyesha hivyo anaogopa kumbemenda. Kumbe mshosti alikuwa ana miwaya akawa anataka kuniokoa.

  Nimemmega mpaka alipoanza kuugua, machale yakanicheza nikasepa. Lol, nilikuwa na wakati mgumu mpaka nilipoamua kupima zaidi ya mara tano. Thanks to condom, hanidanganyi mtu.

  May your soul RIP Jamila. Won't forget you.
   
 12. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,367
  Likes Received: 659
  Trophy Points: 280
  Mimi kondom nazipenda sana ila tatizo ni kwamba nikitaka kuvaa kondom tuu mashine inalala,so mi nadokoa tuu fasta fasta,lakini there must be somethin on it!!!
   
 13. IronBroom

  IronBroom JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2009
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 524
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hivyo vipimo na imani kwa kwa mpenzi ndio umevipa 100%Kalagabaho.....
   
 14. m

  mpangwa1 JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2009
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 279
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  codom zinaziua ukimwi kwa kwa sababu ili upata ukimwi lazima kuwe na mchubuko kwa hiyo mwanaume hawezi pata ukimwi kama amefaa condom it is proven that 85% of hiv virus live in white blood cells which are big than sperms. kwa hiyo nikiwango kidogo sana cha virus kinaweza kupita kwenye condom na kulete maambukizi. In order to get hiv should have acquired a certain amount of virus above threshold below that u cant get hiv. Hakuna tiba ya 100% kwa ungonjwa wowote. please continue telling people to use condom linganisha nchi zinatumia sana condom na maambukizi ya ukimwi kama vile ulaya na asia ambao walianza kutumia condom kabla kwa ajili ya kukinga mimba maambikizi yao yako chini sana.
   
 15. M

  Michael Mifa New Member

  #15
  May 30, 2016
  Joined: May 4, 2016
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kondomu inazuia ukimwi tuache kuongea bila kuwa ni vielelezo halisi....mara ngapi tumeona wanandoa ambao mwenz mmoja kaathirika na mwnine hajaathirika wanaishi vema kwa kutumia kondom bila kuambukizana
  Pili, kama unaweza kufanya mapenz na mwathirika na ucambukizwe sababu hakuna mchubuko a uulimuandaa vizuri....yawezekanaje kuambikizwa ukivaa kondomu. Jibu unalo ucjifanye kichwa ngumu.
   
Loading...