Konde boy anapoteza pambano, wanasimba kapigeni kura jamani twitter

nimeshapiga sijui kama wanaruhusu kupiga zaidi ya mara moja Kamwaga aanze haraka kuhamasisha wanasimba wapige kura
Kamwaga kazubaa sana yule, ila kiuhalisia pale lazima tupigwe tu kwasababu zifutazo

👉Egypt ni Taifa lililoendelea kuliko Tz,hivyo basi idadi ya watu wenye simu janja ni lazima itakuwa kubwa kuliko sisi.Sambamba na hilo watumiaji wa mitandao wa twitter hapa bongo ni wachache sana ukinilinganisha na wale wa EGYPT, labda kama ingakuwa instagram 😂

👉Al ahly ina fanbase kubwa kuliko Simba katika mitandao yote.

NB:Goli la miquisone ni bora mara mia zaidi ya lile la Afsha, ila ndohivyo mwenye nacho huongezewa.
 
ila hatushindani na Misri Kamwaga yeye ameanza kufanya interview na vyombo vya habari
 
Haya masuala ya kuoiga kura haya sijawahi kuyakubali, mtu anaweza kushinda sio kwa uboora ila ni sababu ya mapenzi binafsi ya watu..

Haya mambo ya kura ndio matokeo yake jitu moja linashinda uchaguzi, ambao haukuushiriki au kumpigia kura, anasjhindda anajiita muwakilishi wako, kisha anaenda kupitiishaa koddi ya miamala ambayo ww Unapinga
 
Kamwaga kazubaa sana yule, ila kiuhalisia pale lazima tupigwe tu kwasababu zifutazo

Egypt ni Taifa lililoendelea kuliko Tz,hivyo basi idadi ya watu wenye simu janja ni lazima itakuwa kubwa kuliko sisi.Sambamba na hilo watumiaji wa mitandao wa twitter hapa bongo ni wachache sana ukinilinganisha na wale wa EGYPT, labda kama ingakuwa instagram

Al ahly ina fanbase kubwa kuliko Simba katika mitandao yote.

NB:Goli la miquisone ni bora mara mia zaidi ya lile la Afsha, ila ndohivyo mwenye nacho huongezewa.
Never give up kirahisi namna hii, kura zipigwe tu no matter what, kama unakiri goli la Miq ni bora, basi wako wengi wenye mtazamo kama wako, kapige kura nao wafuate.
 
Mmmmh

634f98d79376da3b636ed454dfa16a1e.png
 
Back
Top Bottom