Komu aliuza ushindi wa Chadema Moshi Vijijini

Mkuu sioni sababu ya kumtuhumu mtu bila kuwa na solid evidence. Watuambie ni vituo gani Komu alishinda
kwa kura ngapi na ni wapi Dr Chami alishinda/alishindwa tukiweza kupata hiyo idadi tumuiplicate.

Vinginevyo tutakuwa tunamtuhumu bure Komu. Itafurahishwa pia kupata udhibitisho kutoka kwenye chama
kama wanazo speculation zozote
Tuko pamoja
 
Ilshasemwa humu kuna ubaguzi wa grade za uchaga huko kwenu, kuna mchaga wa uru na mchaga mkibosho, ni sawa na kwetu kule ukiwa mpogoro wa ulanga mashariki wewe ndie genuine(mvigoi) na ukiwa magharib unaitwa wa kuchonga (vidabaga)!!!!!!

Hahahaaaaaaaa kazi ipo acha julius kambarage nyerere apumzike kwa amani maana alijua tanganyika na unguja ndani na nje na maono yalimuonyesha kinachofuatia!!!!!!!!

Sasa iko haja ya kuwaangalia watu wa makabila tofauti na mikoa wanayotafutia mamlaka za kisiasa ili tujue kama ni genuine huko kwao au wa kuchonga?? Maana hilo liko kagera, mwanza ,musoma,moro, iringa, mby na n.k

mungu ibariki tanzania

Mwanza kwa maana ya wasukuma hawana kabisa dhana ya ukabila, labda vikabila vidogo vidogo vilivyomo. Ukitafuta makabila yanayo ongoza kwa wingi wa watumishi ndani ya halmasahuri za mkoa huo utashangaa! Angalia hata wabunge wake walioshinda, si wote wasukuma-wengine hata kabila zao hazijulikani na wengi lakini walipata kura za kutosha na kuwabwaga wasukuma wenzao! Mwanza imeonyesha mfano na wengine wafuate nyayo.
 
anton komu amegombea jimbo la moshi vijijini, maulida ana komu aliyegombea kigamboni ni shemeji yao akina komu, mtakumbuka kuwa aliwahi kuwa mgombea mwenza na freeman mbowe, ni mzanzibar tena mwenye asili ya ungazija na ni mama , wakati anton ni mwanaume
 
Mwanza kwa maana ya wasukuma hawana kabisa dhana ya ukabila, labda vikabila vidogo vidogo vilivyomo. Ukitafuta makabila yanayo ongoza kwa wingi wa watumishi ndani ya halmasahuri za mkoa huo utashangaa! Angalia hata wabunge wake walioshinda, si wote wasukuma-wengine hata kabila zao hazijulikani na wengi lakini walipata kura za kutosha na kuwabwaga wasukuma wenzao! Mwanza imeonyesha mfano na wengine wafuate nyayo.

Ni kweli kabisa mkuu. ila nina imani hata wakibosho hawana ukabila ila huyu Akwilini chuwa ninamjua na tulisoma naye. yaani ni mtu mwenye njaa sijawahi kuona
 
Ni kweli kabisa mkuu. ila nina imani hata wakibosho hawana ukabila ila huyu Akwilini chuwa ninamjua na tulisoma naye. yaani ni mtu mwenye njaa sijawahi kuona

Huo ukabila wa Wakibosho unaonezwa ni propaganda za ccm kufanya watu wasijadili tatizo la msingi. kwamba Chami hapendwi na wakibosho na kukosa uchakachuaji, hajawahi kushinda kibosho.
 
Jamani, hiyo kesi imeshafunguliwa au ilikuwa funika kombe mwanaharamu apite?
 
najua chami unasoma hapa, wewe ni kibaraka wa ccm , na haujulikani msimamo wako uko wapi, aidha unaunga mkono mafisadi au hapana, nakumbuka wewe ni kibaraka tangu pale uru seminary, hatukuhitaji katika ukombozi wa pili wa taifa letu. endelea kumwita chenge na lowasa kaka.

Hapana, hapa umejishahau kuwa uko Jukwaa la Great thinkers. Hizi ni chuki binafsi. Hoja ni Je alishinda kihalali? Inawezakana hata yeye akawa anajiuliza haya haya maana chama chake kilifanya jitihada kubwa kuhakikisha hilo!
 
Tetesi: kama cjakosea kuna tetesi ya kuwa kesi za uchaguzi hazijaanza kuckilizwa so how u can be so sure. Au una hakika hajapeleka mashtaka na kufungua kesi ....?
 
Ni jambo zuri tukipata ushahidi tuone kama amechaguliwa na wananchi halafu yeye anaiuza nafasi kwa nini..? Halafu atuambie kama akutaka kuwatumikia wananchi wa moshi vijijini kwa nini alitaka ridhaa yao.
 
Hivi hii bodi ya mikopo (HESLB) ina umuhimu wa kusaidia wasiojiweza au inaleta matabaka na uchochezi tu kati ya wanafunzi...?
 
Jamani hili kwa Komu linawezekana kabisa msibishe sana,ila data muhimu sana

so una data halafu hilo kwa komu inawezekana...? Plz be specific kwa yale unayoongea au kuyasema.. Mbona me nimekaa nae more than 15yrs na nina uhakika hawezi kabisa....?
 
Kesi imefunguliwa wakuu wangu, chami alijitaidi sana kuzuia lakini nguvu za umma zimesaidia sana, hasa msukumo wa mwanaharakati said kubenea
 
Kesi imefunguliwa wakuu wangu, chami alijitaidi sana kuzuia lakini nguvu za umma zimesaidia sana, hasa msukumo wa mwanaharakati said kubenea

vema tuweke mpambanaji wetu kubenea kafanya nini kusukuma hili.
maana niwahi kusikia kuna mtu alikuwa anasumbua kutoa fomu za matokeo je kasaidia kupatika kwake.
 
Back
Top Bottom