Komredi Kinana amkabidhi rasmi ofisi Katibu Mkuu mpya Dk. Bashiru Ally

Mfalme wa Genge

Senior Member
Mar 30, 2018
190
224
CCM ni kawaida yao kubadilisha uongozi hata nafasi ya Mwenyekiti lakini sio zile pande nyingine. Kama kuna chama ambacho mgombea Urais hajawahi kuruhusu mtu agombee kiti cha Urais tangu uchaguzi vyama vingi uanze mwaka 1995. Na mwingine hajawahi kuachia nafasi ya Uenyekiti tangu chama kimeanza. CCM hakika mna demokrasia ya kweli.

IMG_20180531_105402_354.jpg



Soma: Kutoka NEC ya CCM: Mrithi wa Kinana ni Dr. Bashiru Ally. Apitishwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM
 
Chadema,CuF ,ACT wazalendo haijawahi Tokea tendo kama hili la katibu MKuu anayeondoka kumkabidhi katibu MKuu anayeingia Toka vyama hivyo vianzishwe.
 
CCM ni kawaida yao kubadilisha uongozi hata nafasi ya Mwenyekiti lakini sio zile pande nyingine. Km kuna chama ambacho mgombea urais hajawahi kuruhusu mtu agombee kiti cha urais tangu uchaguzi vyama vingi uanze mwaka 1995. Na mwingine hajawahi kuachia nafasi ya uenyekiti tangu chama kimeanza. CCM hakika mna demokrasia ya kweli.View attachment 790521
Kabidhini na uongozi wa nchi basi sio mnang'ang'ania tuuu wakati tumewachoka.
 
Hivi unaweza kujiuzulu halafu usikabidhi ofisi? Nothing to discuss. It is a normal practice. Watu wajifunze kujua ipi ni habari. Tuna watu ambao wapo tayari hata kuandika kuwa, 'Leo Rais amekunywa maji', na wanaamini ni habari ya kujadili!

Ikitokea siku katibu mkuu mpya wa CCM akatamka kuwa katiba mpya siyo muhimu, hiyo ni habari
 
Hivi unaweza kujiuzulu halafu usikabidhi ofisi? Nothing to discuss. It is a normal practice. Watu wajifunze kujua ipi ni habari. Tuna watu ambao wapo tayari hata kuandika kuwa, 'Leo Rais amekunywa maji', na wanaamini ni habari ya kujadili!
Si lazima udiscuss hata kusoma ukapata taarifa jinsi demokrasia kwenye vyama vingine ilivyo itakusaidia kuamsha chama chako
 
Back
Top Bottom