Komputa inashindwa kusoma au kufungua faili zilizo kwenye PDF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Komputa inashindwa kusoma au kufungua faili zilizo kwenye PDF

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mfianchi, May 11, 2010.

 1. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Wakulu naomba msaada naamini hapa kuna nguli wengi wa Tekohama mtanisaidia .hivi sasa komputa yangu inashindwa kutambua faili zilizo kwenye mfumo wa PDF ,hapo zamani nilikuwa naweza kufungua faili zilizo kwenye PDF bila nongwa,sasa ni siku ya nne hili tatizo la kushindwa kufunguka na mpaka sasa sijui nifanyeje,tafadhali naomba msaada
   
 2. JuaKali

  JuaKali JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 785
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Uninstall adobe na kuinstall upya!
   
 3. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #3
  May 11, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
 4. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Ndugu Carthbelt na Jua kali natanguliza shukurani nitafanua hivyo
   
Loading...