Kombora moja kutoka iran lapiga syria na kuua magaidi 50 kwa mpigo

Kitu wasichokijua wengi ni kwamba kunachoendelea kati ya Iran na Marekani ni Drama tu... Marekani ndiye aliyeiweka madarakani hiyo serikali ya kiislam ya Iran na ndiye atakayeiondoa muda ukifika.
Ungemjua ayatora ,wala usingesema hivyo.
 
Iran afghan Pakistan not Arabic ....ila waarabu wengi waliomzunguka wanamchukia mu Iran hasa ule usuni na ushia
Hakuna msuni wa kweli, anayemchukia mshia,hawa wanaomchukia mshia ni magaidi,wanaotengenezwa,ili ienekane hivyo.Hapa Tanzania na nchi nyingi duniani,shia na suni wa kweli,wanashirikiana wa nyanja kwa zote,na hakuna migongano.Magaidi sio watu wazuri,magaidi sio waislamu,yafaa kuangamizwa kwa njia zote.Kila mwenye kpenda amani,lazima afurahi kuangamizwa watu hawa.Hawa magaidi,wanauwa watu wa dini zote,mpaka masuni pia wanaua.
Vipo vyuo vya kiislamu vya suni na misikiti imejengwa na shia,na pia kuwafadhili magari ya waalimu,mishahara,na pia masomo ya juu nje ya nchi.Zipo familia za kisuni,wanasomeahewa watoto wao na mashia,kulipiwa hostel,chakula,mavazi nk.
 
Hapa ndio ninapowadharau waislamu kwa kubaguana
Hakuna ubaguzi katika uislamu,hii kitu imetengenezwa,na walioteneza hii,wakisikia magaidi,ambao wamewatengeneza wanamalizwa,roho zinawauma.Mhona shia na suni wako nchi nyingi duniani,na hawabaguwani wala hawauani.Hapa Tanzania,Kenya,Uganda,na nchi nyingi wapo,na wanaishi kwa AMANI nakushirikiana.
 
Ujue hata mimi nashangaa hapa Tanzania mambo hayo hakuna
 
Ujue hata mimi nashangaa hapa Tanzania mambo hayo hakuna
Ndio ujuwe kule yanakofanyika ni ya kutengenezwa,kwa maslahi ya wenye uchu wa rasilimali na kuuza silaha zao.Si ajabu huyo anayewauwa mashia,sio suni na wala sio muislamu,yeye kakodishwa afanye kazi hiyo,anajpachika jina la kiislamu,na kuvaa mavazi ya kiislamu,halafu anatafuta vijana wadogo,kwa kuwatumia kwa kazi hiyo.
 
Mkuu wewe umenielewesha vizuri sana huna jazba ubarikiwe
 
Duru katika medani za vita zimetangaza kuwa zaidi ya magaidi 50 wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) waliangamizwa baada ya kombora moja kati ya sita ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu kulenga kamandi ya kijeshi ya kundi hilo katika mji wa Al-Mayadin ulioko kwenye viunga vya Deir Ezzor mashariki mwa Syria.
Kanali ya televisheni ya Al-Alam imeripoti kuwa magaidi sita miongoni mwa walioangamizwa walikuwa raia wa Libya.
Aidha makamanda kadhaa wa kundi la kigaidi la Daesh akiwemo Abu Asim Al-Libi, na Abdulqadir Al-Farani, maarufu kwa lakabu ya Abu Harith nao pia wameangamizwa na kombora hilo.
Hadi sasa hakuna taarifa rasmi zilizotolewa kuhusu maafa yaliyosababishwa na makombora mengine matano yaliyofyatuliwa na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, ambayo yalilenga kwa umakini shabaha iliyokusudiwa kwenye kamandi ya magaidi wa kundi la kitakfiri la Daesh katika eneo la Deir Ezzor nchini Syria.
Siku ya Jumapili usiku, Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu liliishambulia kwa makombora sita ya masafa ya kati ya ardhini kwa ardhini kamandi ya kijeshi ya magaidi wa kitakfiri wa Daesh (ISIS) katika eneo la Deir Ezzor mashariki mwa Syria kwa lengo la kuwatia adabu magaidi hao wa kitakfiri.
Makombora hayo yaliyorushwa kupitia anga ya Iraq na kukata masafa ya kilomita 650 yalilenga kwa umakini shabaha zilizokusudiwa katika eneo la Deir Ezzor ndani ya ardhi ya Syria.
Kufuatia jinai ya kigaidi iliyofanywa tarehe 7 ya mwezi huu wa Juni hapa mjini Tehran na kusababisha kuuawa shahidi kimadhulumu watu 18 waliokuwa na saumu na kujeruhiwa wengine 52, jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran lilitangaza kuwa halitoruhusu kumwagwa damu takasifu pasina kutoa jibu kwa umwagaji damu huo...
Source parstoday

Waliwauwa kisha wakaanza kuwahesabu
 
Nafikiri hujawahi kutembeleya mikoa ya Pwani,hasa maeneo ya Tanga.Kule maeneo ya Pwani,familia nyingi zinamchanganyiko wa usuni na ushia,ukristo na uislamu.Na wapo pamoja na wanaishi vizuri kwa kusaidiana.
Mimi ni miongoni mwa wanaotoka katika familia hizo na maeneo hayo
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom