KOMBE vs ABDULLAH

Jatropha

JF-Expert Member
Apr 9, 2009
1,151
199
Umezuka mvutano katika magazeti kati ya Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani na Mohamed Abdullah Mwenyekiti wa Tanzania Bus Owners Association kuhusu speed governors (Luku). Kikosi cha Usalama barabartani kinataka mabasi yote ya kwenda mikonai yafungwe speed governors by 20th February 2010, in accordance to the Road Traffic Act No 30 of 1973, amendementa of 1996; kama njia mojawapo ya kupunguza ajali za barabarani na loss of innocent lives; na TABOA wanasema hawafungi n'go.

Je ni nani yuko right?

Je ni nani ataibuka mshindi? Naomba mnisaide ushauri
 
mshindi atakaefuata sheria(kwenye red) hapo,however,hii si guarantee ajali zitapungua
 
Life span ya speed governor ni muda gani?
Je kuna haja gani ya kufunga kidhibiti mwendo ambacho baada ya muda mfupi kinaacha kufanya kazi?
Kuna watu wana maslahi na hizo governors
 
As far as sheria ipo,atakayeshinda ni anayeungwa mkono na sheria katika argument zake. Bus owners wanatakiwa kufuata sheria.
 
Jibu anaweza kutupatia Jerry Muro.
Kwamba, hata wakati ule hizo speed governors zinafungwa, bado mabasi yalikuwa yanapitiliza mwendo, basi liliotoka Dar muda fulani labda linategemewa Chalinze baada ya masaa 2 kwa kuwa na speed governor lakini linafika kwa lisaa 1. Pale Chalinze (kwa mfano) askari wa usalama barabarani analiona hilo lakini basi litaachiwa liendelee na safari.
 
Hapo kwenye RED ni NJAA mkuu, wanachofanaya sasa hivi ni kuweka kiraka chenye matundu kwenye tundu la pancha, lazima tairi litabasti tena, ni mfumo mzima unahitajika kubadirishwa including hao trafik kuongezewa maslahi. Trafik ana simama pale jua linamchoma huku nyumbani ana madeni kibao, lazima atapiga bao tu kwa kutafutiza makosa na mengine ndo hayo ya kukamatishwa kitu kidogo. hata wafanyaje ajali hazitaisha. Kwanza madereva wapewe mikataba walipwe mishahara kama wafanyakazi wengine. Trafik nao maslahi yao yazingatiwe, ubovu wa barabara/mabasi yenyewe vidhibitiwe, abiria nao wa take ownership ya uhai wao, mara nyingi utakuta gari inapaishwa balaa lkn ukisema mle ndani abiria wenzako wanakuona mwendawazimu, lkn ikishatokea ajali kila mtu gari ilikuwa speed wakati waliona wakanyamaza. Na mengine mengi tu yaboreshwe lkn ukitegemea adhabu sijui vidhibiti mwendo hakuna lolote sana sana trafiki watafurahia tuu maana litawaongezea wigo wa makosa hence kuongea mianya ya rushwa.
 
CCM inabuni Miradi Mingi wakati uchaguzi mkuu unapokaribia
- Zinduka
- Speed Governor
- endelea kuongeza
 
Ajali zitapungua pale tu watanzania tityakapoanza kuwadai fidia kubwa kubwa wamiliki wa mabasi wasiozingatia sheria, basi kutokuwa na speed governor ni moja ya ushaidi wa kuiwezesha mahakama kukupatia fidia mdai, Tuanze kutumia mahakama. Wanasheria tusaidieni katika hili mtapata fees zenu.
 
Injinia tumis sheria ya speed governor kudai fidia ya ndugu zako wanokufa kwenyr mabasi, wenye mabasi wakishindwa kulipa fidia wenywe wataregulatec mwendo na ajali ziatapungua zenyewe
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom