jaqfantasy212
JF-Expert Member
- Dec 17, 2012
- 542
- 257
Wakuu mwenzenu hapa nina mawazo balaa, hili kombe la dunia mwaka huu linaninyong'onyeza sana..
Nikifikiria mechi zitakazokuwa zinachezwa usiku wa manane stimu zinakata..
Mechi za FIFA ndio hizo usiku mnene na mechi za ndoa yangu nitacheza saa ngap?
Nisaidien kupanga ratiba..
Nikifikiria mechi zitakazokuwa zinachezwa usiku wa manane stimu zinakata..
Mechi za FIFA ndio hizo usiku mnene na mechi za ndoa yangu nitacheza saa ngap?
Nisaidien kupanga ratiba..