Kombe La Dunia La Vijana Wazururaji 2010:Tanzania Imo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kombe La Dunia La Vijana Wazururaji 2010:Tanzania Imo

Discussion in 'Sports' started by Junius, Oct 3, 2009.

 1. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Tanzania ni miongoni mwa mataifa ambayo yatashirikishwa katika mashindano ya soka ya Kombe la Dunia, kwa vijana wanaozurura ovyo mitaani, yatakayofanyika mjini Durban, Afrika Kusini, mwezi Machi mwaka 2010.
  Mbali na wenyeji, mataifa mengine yatakayoshiriki ni Brazil, India, Nicaragua, Ufilipino, Ukraine, Uingereza na Vietman.
  Jumanne ya tarehe 22 Julai 2009, meneja wa chuo cha michezo cha watoto kutoka Mwanza,Tanzania, Bw Mutani Yangwe, alishiriki katika kikao mjini London kuzungumzia juu ya mashindano hayo ya dunia, na vile vile juu ya mipango ya Arsenal, klabu ya Uingereza, kukisaidia chuo hicho.
  SOURCE: BBC SWAHILI SERVICE.
   
 2. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Panahitaji Maximo hapo???!!
   
 3. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  :) :)
   
Loading...